Kutoka FB: ''wahaini'' na ''mafisadi'' waliowekwa kizuizini bila ya kupelekwa mahakamani

Kutoka FB: ''wahaini'' na ''mafisadi'' waliowekwa kizuizini bila ya kupelekwa mahakamani

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Musham Mzanda
7 hrs ·
KATIBA TULIYONAYO IKITEKELEZWA KWA 100% RAIS WETU ATALAUMIWA KUWA DICTATOR. . KUMBUKENI KATIBA HII ALIITUMUA BABA WA TAIFA KUWAWEKA DETENTION WAHAINI NA MAFISADI WENGINE BILA KUPELEKWA MAHAKAMANI.

Mohamed Said Salum Musham Mzanda hawa waliwekwa kizuizini: Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Shariff Hussein Badawiy, Shariff Mwinyibaba, Shariff Adnan, Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumannrte Bias, Maalim Matar, Abdalah Mwamba, Sheikh Hashim Haji Abdallah, Sheikh Nurdin Hussein, Salum Abdallah Popo, Sheikh Mzee Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Maftah, Rajab Kiguu cha Mbuzi na wengine wengi.

K7anBQG6xzmKEcVSMxsou5Hz4R1aHpv_iQkjWR2p6DYp5aZYuaWSEyr8pPDg1ceRf2FpIPqwBmPAtBx6eIajkCaAa_tCFD2FVxlXsI9XTMhA7Gr3iilsj7FWx0KDyEsdBP0qS6U7E8SqUSRnWEmeQrSjdEgKnF6UoYKI_TNDcS3Ly3jTT2o9drqLZ71RQfY-xK8YLHeDEYU1UOPiBngd2CJ2yzkhZ0dwvGUlgqfFjB5cdSjyK9lcGcLjsYVEzBY98hlxwpifMyWLz-HN96dK701LJSTPASHiBIlstEG9pp1UjL50q9wa2l4Kuan33TcLkF6p8YP54NZ_M3ed0fxu4gfj7wWgJvc-yPfB6va8jHTcZWW0LYUMPN2J7wZsyDeEgBz6MRqJpYx7hAyrgZisOFt-Tg537_G9EDsXkitTcL9UtHGaI7JlDCh4IXtuCpILoz-PFjHJOzScWeizcCp2s1BmodtNkHvh19VzlQuDrVJk7CG07sG7Rb4V6S6-2-jxKPFfbQ2vVP9PtWN5A0gyERph0BtdiiV2ei7C0ADSoTdvAQRUUCyeRse1JhLqDoo8c4Wo1OZhYgjNc84ULGLkEofgq2zLPTM=w986-h657-no

Kushoto: Mwandishi, Sharif Hussein Badawy, Abdallah Miraj, Abdallah Tambaza
na Abdallah Kageta

Lakini ukweli ulikuwa kwamba si wote katika wale waliokamatwa na kuwekwa kizuizini walijihusisha na siasa.

Baadhi yao walikamatwa kwa sababu tu walikuwa wakishirikiana na wale waliodhaniwa ni wapinzani wa Nyerere.

vskX9c0j96Q9TZFwnUC1O6AgM-CVttx1bXU4hXDW6kqMysrVzej7VyxH6vOI3tVeEFQxJLuHIMJ24Q0WIJGNVu2HeYuf469CCkUk8xQG6x9YwJ5PQ-ULuQLCiaPnWLVfCNgNSh9QiyoXbv2ZR-Zn4E_YaMr-UwaH_klekne72PgIcmbfxgSiX_pvfm8-kSF2Jo0MWwCjZt5qCmGe6cg8Az-5BqL0a9ATbnkMd_Sbz6tcIUFkBePSejhlbrTlzW-B75m8XNOoBzcKLEIxvM3G2jkOWVaUcnPHnwJv5AkWPMArkvccLp8i6WI6qDW8ZMur4RD8V1QYE9ml2kB8B14tsKKvZk2uBWEl8pjhOQNPMchkFflDhCp8Giy065WE8Wud08trxaxn6Xp40-noAlWzCXr9U_Vsx92eotU3uXR0SXo_eHWRZYu54O4qzOXNwGpe-oZ8aKTjG29ROkIBxkugqZ5hzD7r6cJwX9iSVy2_yxhlgc1bLzzkSknsi37mXIsnjT7VQkvn_l3S8NzxMtsOYMD5HpU1QFb20Iqi73laNynOOzhmmJiABUJWf51QgojLuuOTF9Tde0GBhUbLszk3NhxBTUmac6o=w876-h657-no

Bilal Rehani Waikela

Maalim Matar na Shariff Adnan walifungwa jela kwa sababu tu walihusika na msikiti wa Badawiy mjini Dar es Salaam ambako Sheikh Hassan bin Amir, wakati huo akichukuliwa kuwa ndiyo roho ya waumini wa Tanganyika, alikuwa ikiendesha madrasa yake kila magharibi pale msikitini.

vwwHinGGb6NUKWSvJAzHhoU8I93zpzu8RdnYm6K1jZH5Yv7eBdKAtpnwTuC624YUOkWqih1QvY9DLm2-Z9OKsostAOO_AINMK5RidFgpad-bp8wL3eqw3aI8uvYzQGhtHM5f7krn9dRiZwryQ9Rw_2alfKa-4mVCXFEOSJtYRDZV9p3vYV9EnifN1VHPK4-eMGJiYtA7SbFlpkt-jTIsXfw8FhwfmV6xXOdZBDq69TArwt94CvJ1vDoUbn6ckuwMHfDYacTPqsBotP5g8WeLe_XXYD89KtFexypX0gRdahx7azDPBxQDOHN8enZDxjnbTueC8PNXnKMF0dvZvMiBZYfZG3cSgo6jTJ75TKocaxA58JP2iK7fadvR-3Dx640uN_5zGZDylKKr7sQkC5CHd2L0WUwklHZf4LkrYaCoD6S-hbJMLTjGHBsiudwCGANMwyWeWEP1vCBMog_-VRb60z0HHbSjNQeMyOuAaZ0J9D8doCZppyiQwbymUbO4etu46tXGv_YF9maUUbWnrbilq5Ts509i5L_GXr3D66JLXr9O3onoctR5b2IeTWQ-2mz8lshCbqbA8hPwp3jBlGNF2jVivAX2v3Q=s640-no

Maalim Mohamed Mattar

Shariff Hussein na nduguye Mwinyibaba walihamishiwa Kenya, walikotoka si kwa sababu walikuwa wamejishughulisha katika harakati za kuipinga serikali, ila lakini kwa sababu walikuwa waangalizi wa msikiti wa Badawiy.

Sheikh Mzee Ali Comorian alitiwa kizuizini kwa sababu kila mara alikuwa akifuatana na Sheikh Hassan bin Amir kama vile alikuwa kivuli cha sheikh.

Sheikh Hassan bin Amir yeye hakuwekwa kizuizini ila alifukuzwa Tanganyika.

Th2ilf2zsR8oKisoqHkWafz7pzaU7xd2dOgVx2bM-VpLXZvO5OjvUw5dz7IsXqSaMmKrbI1Ythvhbwx0dVM0ggO0yoBARRlJrPBRPhDck0djntOpgePHKaHoGAEu2IjWMLgdac9c39DjeDOsZ4IexfvGvzLN3vFq2rJrfG0O5M--FR4cCKg0r_sJ53wA6Obeba3KKR_XYHSzI1CrLFR9CiJdm6EAYp5bnrq-HX1JN-OQdOjnkBazkr3BLQP7DO8ZRaY5zgBUHp-yI-B17pEFfZFGY2X-sa8OuYOxcNP1GBgl0Ft5axeD7dYzywM1szdqeKvdliZ5zXH5-RxrRzJWPqM1WHq1QUf6NTRYu7Q6xs4iHCIsKwlkpJy-rPljwarsYxh7LLvZXvjE-ZU_0lkOiMc2xJWZh2qvPCHJO0BarUqG_IddvKGhbIjMyjvbtGQxe2fJCbDpVRXYDs4O3h60FYU_TrxF-f2BxPOUJeYQiOGEDf15IpyXjl3Rafbo3tn10Jmhw-9qMBtx7eR8qb3sGVZTWUZTy1mNN4PYEQzVGIOsp2A2T6H_AN0Yb6MG-GeZsqjDFeSyAuKSpqK65QTPDIzTeKsYJhw=w275-h236-no

(Halikadhalika Sharif Hussein alifukuzwa pamoja na mdogo wake Mwinyibaba wakarudishwa kwao Kenya).

Alionekana ni tatizo kwa kuwa alikuwa anataka kuwajengea Waislam Chuo Kikuu kupitia East African Muslim Welfare Society (EAMWS) chama hiki kikapigwa marufuku na Nyerere akawaundia Waislam BAKWATA.

Bwana Muvanda nimeona nikueleze haya ili uwe na upande wa pili wa habari.
Hawa hawakuwa wahaini wala mafisadi.

Walikuwa Waislam wema na wengi wao walipigania uhuru wa Tanganyika.

La unataka kujua mengi zaidi soma kitabu: ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika'', Minerva Press London 1998.

Unaweza kusoma historia za baadhi ya hawa niliowataja hapo chini:
Mohamed Said: KUTOKA JF: SHEIKH HASSAN BIN AMIR ALIVYOIONGOZA TANU KUWA CHAMA CHA KISEKULA
Mohamed Said: BILALI REHANI WAIKELA...
Mohamed Said: KUTOKA JF: BABU YANGU SALUM ABDALLAH
 
Mi udini sitaki kabisa kuusikia.. ni ugonjwa ulotaka kuibuka wakati wa JK Mrisho ila alikabiliana nao. Hatuutaki tena.

Go away with the untold stories. Historia ya Tanzania haisemi tuliletewa uhuru na Wakristo wala Waislamu bali wayanganyika wasomi wa kawaida.

Sasa na mie nikiamua nitoe kitabu cha Jinsi Wakristu wamesaidia kuleta uhuru si ndo migogoro itaanza.

Nchi Hii Haina Dini.
 
Natamani ukristo na uislam ungeishia huko huko Uarabuni na Ulaya....maake huwa inakera sana mtu kila kitu anawazia udini tu.....tamaduni za watu ndio zimekuharibu kiasi hiki kweli...?
aggggggrrrrrr
 
Natamani ukristo na uislam ungeishia huko huko Uarabuni na Ulaya....maake huwa inakera sana mtu kila kitu anawazia udini tu.....tamaduni za watu ndio zimekuharibu kiasi hiki kweli...?
aggggggrrrrrr
Igwe,
Ndiyo dunia ilivyo.

Mola katujaalia uhuru wa kuamua kipi mtu atakacho.
Hayo usemayo madogo sana.

Makubwa ni haya mwanamume anaolewa na mwanamume
mwanzake na huruhusiwi kuingila uhuru wake.

Kitanistaajabisha nini wewe kumkana Mola aliyekuumba?
 
Tujadili yajayo yaliyopita si ndwele kama sio ndulele
Kirusi...
Hakika yaliyopita si ndwele tugange yajayo.

Historia itufunze wapi tulijikwaa na vipi tutasonga mbele
pamoja na kwa amani na usawa bila kubaguana.
 
Mi udini sitaki kabisa kuusikia.. ni ugonjwa ulotaka kuibuka wakati wa JK Mrisho ila alikabiliana nao. Hatuutaki tena.

Go away with the untold stories. Historia ya Tanzania haisemi tuliletewa uhuru na Wakristo wala Waislamu bali wayanganyika wasomi wa kawaida.

Sasa na mie nikiamua nitoe kitabu cha Jinsi Wakristu wamesaidia kuleta uhuru si ndo migogoro itaanza.

Nchi Hii Haina Dini.
Kirchhoff,
Migogoro haiwezi kuletwa na kuandika.
Kuandika na utafiti ni hazina ya kila taifa.

Kikwete hajasababisha tatizo la udini.
Msome Bergen (1981) na Sivalon (1992) ikiwa unataka kujua somo hili.

Ukiwa unataka rejea zaidi ili ujue chanzo cha tatizo sema nitakuwekea.
Ikiwa unadhani una jipya katika historia ya TANU tuandikie tutasoma.

Mimi niliona upungufu katika historia iliyokuwapo ndipo nikatafiti na kuandika.
Kitabu kipo sasa mwaka wa 18 hapajatokea mgogoro wowote.

Usijitishe na kivuli chako mwenyewe.

Sikiza nini kilipitika katika nchi yetu katika kuutafuta uhuru nifahamishe kama
ulikuwa unayajua haya kabla:

"Waislam Na Siasa Tanzania - Ulimwengu Wa Kiislam - Radio Imaan Part 1 (b) - YouTube"
 
Igwe,
Ndiyo dunia ilivyo.

Mola katujaalia uhuru wa kuamua kipi mtu atakacho.
Hayo usemayo madogo sana.

Makubwa ni haya mwanamume anaolewa na mwanamume
mwanzake na huruhusiwi kuingila uhuru wake.

Kitanistaajabisha nini wewe kumkana Mola aliyekuumba?
Una uhakika gani kama mola wako ndiye aliyemuumba jamaa acha kuendeshwa na mawazo ya watu tumia akili yako vizuri
 
Una uhakika gani kama mola wako ndiye aliyemuumba jamaa acha kuendeshwa na mawazo ya watu tumia akili yako vizuri
Hiram,
Tujadili kistaarabu.
Subiri yeye mwenyewe anijibu.

Ama kuhusu kuendeshwa na mawazo ya watu na kutumia akili yangu...
Hili nina yakini nalo...

Akili yangu ni ''above average.''
Alhamudulilah.
 
Mungu wako Hajambo
Mlaleo,
Ningeweza nikakaa kimya nisikujibu lakini nitakuwa nimebeba dhima.
Wajibu nikuwaidhi huenda ukanufaika.

Tutaniane na kuchezeana shere sisi wenyewe kwa wenyewe.
Mungu hataniwi.

Unaweza ukafanya mzaha akaacha na unaweza ukafanya mzaha akakuadhibu.
Mie natosha kwako kunikejeli.

Usiende huko.
 
Si Kujuliana hali au hamna upendo kwenu...wala kusabahiana... Hizo Dhihaka mmempangia nyie hapa au? au kisa lugha nitamke kwa kiarabu?
 
Musham Mzanda[L][][URL='https.facebook.com/musham.mzanda.9?fref=nf']
[URL='https://.facebook.com/musham.mzanda.9/posts/818586431611918']7 hrs[ ·
KATIBA TULIYONAYO IKITEKELEZWA KWA 100% RAIS WETU ATALAUMIWA KUWA DICTATOR. . KUMBUKENI KATIBA HII ALIITUMUA BABA WA TAIFA KUWAWEKA DETENTION WAHAINI NA MAFISADI WENGINE BILA KUPELEKWA MAHAKAMANI.

[UR.facebook.com/mohamedsaid.salum?fref=ufi']Mohamed Said Salum[L] Musham Mzanda hawa waliwekwa kizuizini: Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Shariff Hussein Badawiy, Shariff Mwinyibaba, Shariff Adnan, Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumanne Bias, Maalim Matar, Abdalah Mwamba, Sheikh Hashim Haji Abdallah, Sheikh Nurdin Hussein, Salum Abdallah Popo, Sheikh Mzee Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Maftah, Rajab Kiguu cha Mbuzi na wengine wengi.

Kushoto: Mwandishi, Sharif Hussein Badawy, Abdallah Miraj, Abdallah Tambaza
na Abdallah Kageta

Lakini ukweli ulikuwa kwamba si wote katika wale waliokamatwa na kuwekwa kizuizini walijihusisha na siasa.

Baadhi yao walikamatwa kwa sababu tu walikuwa wakishirikiana na wale waliodhaniwa ni wapinzani wa Nyerere.

Bilal Rehani Waikela

Maalim Matar na Shariff Adnan walifungwa jela kwa sababu tu walihusika na msikiti wa Badawiy mjini Dar es Salaam ambako Sheikh Hassan bin Amir, wakati huo akichukuliwa kuwa ndiyo roho ya waumini wa Tanganyika, alikuwa ikiendesha madrasa yake kila magharibi pale msikitini.

Maalim Mohamed Mattar

Shariff Hussein na nduguye Mwinyibaba walihamishiwa Kenya, walikotoka si kwa sababu walikuwa wamejishughulisha katika harakati za kuipinga serikali, ila lakini kwa sababu walikuwa waangalizi wa msikiti wa Badawiy.

Sheikh Mzee Ali Comorian alitiwa kizuizini kwa sababu kila mara alikuwa akifuatana na Sheikh Hassan bin Amir kama vile alikuwa kivuli cha sheikh.

Sheikh Hassan bin Amir yeye hakuwekwa kizuizini ila alifukuzwa Tanganyika.

(Halikadhalika Sharif Hussein alifukuzwa pamoja na mdogo wake Mwinyibaba wakarudishwa kwao Kenya).

Alionekana ni tatizo kwa kuwa alikuwa anataka kuwajengea Waislam Chuo Kikuu kupitia East African Muslim Welfare Society (EAMWS) chama hiki kikapigwa marufuku na Nyerere akawaundia Waislam BAKWATA.

Bwana Muvanda nimeona nikueleze haya ili uwe na upande wa pili wa habari.
Hawa hawakuwa wahaini wala mafisadi.

Walikuwa Waislam wema na wengi wao walipigania uhuru wa Tanganyika.

La unataka kujua mengi zaidi soma kitabu: ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika'', Minerva Press London 1998.

Unaweza kusoma historia za baadhi ya hawa niliowataja hapo chini:
[URL="http://www.mohammedsaid.com/2014/05/kutoka-jf-sheikh-hassan-bin-amir_30.html"]Mohamed Said: KUTOKA JF: SHEIKH HASSAN BIN AMIR ALIVYOIONGOZA TANU KUWA CHAMA CHA KISEKULA
[URL="http://wmohammedsaid.com/2013/12/bilali-rehani-waikela.html"]Mohamed Said: BILALI REHANI WAIKELA...
[URL="http://wohammedsaid.com/2016/06/babu-yangu-salum-abdallah.html"]Mohamed Said: KUTOKA JF: BABU YANGU SALUM ABDALLAH[
[/URL][/URL][/url]
[/URL][/url]
Religion is an opium of the people
 
Mtoa mada ushawahi kuona mtu amekategorize uhusika wa wakristu kupigania uhuru?

Wewe kuwakategorize waislamu tuu ulikuwa na maana gani?
Kwamba nikijua au kuyokujua hayo uliyoandika kwangu si hoja. Nikishajua hao waislamu walivyoshiriki kupigania uhuru inaongeza nini?

Kwa nini usingejeneralize? Huo ndo tunaita udini.
Na mwaka wa JK Mrisho niliona mwenendo usio mzuri katika jamii tulivu ya kitanzania. mara kuweka fedha benki kiislamu, kula kiislamu, kuchinja kiislamu, mara kupigania uhuru kiislamu, mara uDAS, uDED, uWaziri, n.k haki sawa mambo mengi mnawaza udini tuu.

Anyway nimesoma fatwa za Mohammed Saleh al munajjid ndo maana najua kwa nini mambo yako hivi.
 
Mi udini sitaki kabisa kuusikia.. ni ugonjwa ulotaka kuibuka wakati wa JK Mrisho ila alikabiliana nao. Hatuutaki tena.

Go away with the untold stories. Historia ya Tanzania haisemi tuliletewa uhuru na Wakristo wala Waislamu bali wayanganyika wasomi wa kawaida.

Sasa na mie nikiamua nitoe kitabu cha Jinsi Wakristu wamesaidia kuleta uhuru si ndo migogoro itaanza.

Nchi Hii Haina Dini.
Si mpaka uwe na elimu ya historia unadhani unaweza kuibuka tu kama uyoga..

eti nikiamua kutoa historia.. sasa unasubiri nini..!?
 
Inaelekea hujasoma signature yangu wewe.
Na sijakuambia nataka nitoe historia. Historia inayonifaidisha mimi ni Holy Bible and The Word of God tuu.
Si mpaka uwe na elimu ya historia unadhani unaweza kuibuka tu kama uyoga..

eti nikiamua kutoa historia.. sasa unasubiri nini..!?
 
Back
Top Bottom