Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Na dada yake ni marehemu ,hujakosea kabisa
Nmesoma huu uzi kumbe ni watoto wa chuga! Ibra mume wa Irene namjua ila sikujuaga ni "fundii" kihivo asee hawa matozi wnaficha mengi na Irene itakuwa alipagawaga na utozi coz aliolewa bado mdogo! Na Ruth na yeye vitu vingine aminye tu! Kwani nani hajui watu bongo wanaroga! Mkisikia au kuona uchawi kwenye soka la bongo si mtadata! Afu alichokuwa anafanyiwa ni kupandisha nyota yake tu hata hamrogi mtu!
Tusihukumu kama haya mambo hayapo kwenye jamii yetu, yapo tena kwa kiwango cha juu UTOZI NA USISTADUU ndani una mengi waoneni hivi hivi
 
hivi ni kwanini eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…