Kutoka Jumuiya ya Madola : Njaa zinabadili Upepo wa Mbio za Uwanjani Hadi Marathon

Kutoka Jumuiya ya Madola : Njaa zinabadili Upepo wa Mbio za Uwanjani Hadi Marathon

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Bofya Hapa Kumsikiliza...
Njaa zinabadili upepo wa Riadha

Mwanariadha wa Mbio za uwanjani, Mita 5000 ( Track and Field) Faraja Lazaro, ameshauri wahusika wa Riadha, wawekeze kwenye mashindano ya Uwanjani , Pamoja Serikali kuweka fungu Ili Wanariadha wasihame kwenda kwenye Marathon, ambapo Pesa kule zipo zaidi ya kwenye mbio za uwanjani.

Amekiri Njaa Ndo zinabadili mfumo wa Mbio za uwanjani Hadi kwenda kwenye marathon Ili kupata kipato cha kujikimu.

Ameomba Serikali kuweka Kambi Mapema Ili waweze kujiandaa kwenye mashindano makubwa ya Kimataifa Yajayo.
 
Back
Top Bottom