Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Leo timu ya Tanzania bara ya wanawake iko Kaitaba ikimenyana na timu ya Taifa ya Burundi. Niko kaitaba kwenye pitch mpya iliyotengenezwa kwa ufadhili wa FIFA na kusababisha mechi za kimataifa zianze kuchezewa hapa. Taifa queens kesho wataelekea Kampala kushiriki michuanonya CECAFA ya wanawake.
=> Tanzania hawaingii ndani wako uwanjani tuuu
=> Tunajiandaa kuimba nyimbo za taifa
=> Wimbo wa taifa Tanzania umepigwa hadi machizi wote kimyaaaaaaa......kumbe wanaakili
=> Game limeanza
=> Dakika ya 8 tz 0 0 burundi
=> Dakika ya 18 tanzania 1...0 burundi ...dada aitwaye
=> Mwanahamis omary gaucho kapiga la pili dakika ya 30