Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,211
- 1,059
Mkuu FIFA hawakuchagua uwanja ila yeye ndie kapeleka kageraKaka ni FIFA hiyoo
Hii game iliishia half-time?
Chaji iliisha mwana alafu baada ya ushindi nikagonga vyomboooReporter wetu bando lilikata halftime,ulitaka afanyeje zaidi ya kupiga kimya?
Duh!Reporter wetu bando lilikata halftime,ulitaka afanyeje zaidi ya kupiga kimya?
Pole muungwana hizi smartphone zina changamoto sana hongera kwa mabint zetu kupata ushindi.Chaji iliisha mwana alafu baada ya ushindi nikagonga vyombooo