Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

Kumbe wewe ufikiri Dr. Slaa alikuwa mwenyekiti wa kamati ya hesabu za serikali za mitaa. Hilo jambo nilianza kulisikia kipindi kamati ya LARC Ikipitia hesabu hizo za halmashauri. MWANAUME MZIMA UNAUHUSUDU HERENI MASIKIONI !!! SHAME ON YOU
 
ule umweleka mliokuwa mkiusubiri mafisadi wa upinzani jangwani haukutokea wanasema unaweza kumpata mtu mara ya kwanza au ya pili mara ya tatu ng'o! teheehee! kura zetu kwa chama kinachothamini: amani , utulivu, usalama, umoja, mshikamano na maendeleo..! nasema tuchague CCM! jamaa juzi kasema wachambuzi wake wakinafiki gharama za kutengeneza mfuko saruji ni shs elfu 4 mimi nasema inaweza kuwa hata shs 500! lakini hayo akawaeleze wanaotaka kusikia habari hiyo! kuna mahali mmeandika kuwa JF ni jukwaa la Watu wenye fikra nzito mbona hapa naona porojo tuuuu au ndio fikira zenyewe hizii...? afadhali mngesema hapa mahali kucheza foliti, mdako na m,ahali pa kupeana chambi..teheheheee...!
 
tried dat, it ddnt work wit dis foolz
Hupotezi chochote Burn ukimpuuza mtu...
Siasa zipo tu hatuna haja ya kurushiana maneno machafu kiasi hiki.
Waswahili huema 'ukishindana na mjinga ww utakuwa mpumbavu'
Hebu acha haya tuendelee kujadili siasa ndugu yangu.
 
invicible, masauni and Burn, hebu u people grow up bana....have some manners bana. Siasa si kuvimiliana, sasa na mbona nyie hivo?
 
Hivi jamani huyu mkwere hafikirii chakuongea , kasema wagombea wengine wana wake wa kuazima, kasahau kuwa MKAPA nae alikua na mke wa kuazima, huyu kweli mkwere, kaanza mipasho na ujinga flani hivi

Aliazima mke kwa mramba, Kikwete kwa ujeuri akamtia korokoroni mme mwenza akimchokonoa mzee mkapa. Mkapa kawapasha mashehe, na ccm walioendesha kampeni kwa kutumia udini
 
Aliazima mke kwa mramba, Kikwete kwa ujeuri akamtia korokoroni mme mwenza akimchokonoa mzee mkapa. Mkapa kawapasha mashehe, na ccm walioendesha kampeni kwa kutumia udini

kwi kwi kwi, nadhani mnahitaji akili za mwanakijiji kulipangua hili, maana hizi sio levell za ku spin za CHADEMA, ngoja uongo mtamu halafu ninyi mu echo maana ndizo akili zenu.
 
Wana JF, kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu mkutano wa CCM viwanja vya Jangwani?

Tunaomba taarifa

:rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip:
 
It is just politics, nothing wrong inside it. Get ready to vote tomorrow
 
Suala la muhimu ni kwenda kupiga kura kesho!
 
Mimi nilidhani kuwa JK aliposema habari ya "First Lady wa kuazima" alikuwa anamsema Ben Mkapa kwani ndiye tunamjua kuwa aliingia Ikulu na mke wa kuazima kwa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…