Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

Lakini ni kweli, Dr. Slaa hakuchagua muda mzuri kuanika tafrani lake na mke wa zamani na mke mpya na mme wa mke mpya. Ndo maana kina Kikwete wamepata mipasho. Yote yakishatulia Dr. Slaa hili atalijutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…