Duniahadaa JF-Expert Member Joined Oct 16, 2017 Posts 336 Reaction score 677 Oct 18, 2020 #1 Ilani ya CCM 2015-2020 Ukurasa wa 7 Ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 10 Hivi hizi kelele zote hasa huwa za nini wakati namba zinaonyesha jamaa na CCM mpya yake wame- drop? Kumbuka hizo ni mukuu kutoka ilani ya CCM yenyewe. NB: Moderator achia uzi ujitegemee, wala usiupotezee maana hizo hapo ni screeshot za kwenye ilani sio maneno yangu. Ukiondoa uzi nitakulaani.
Ilani ya CCM 2015-2020 Ukurasa wa 7 Ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 10 Hivi hizi kelele zote hasa huwa za nini wakati namba zinaonyesha jamaa na CCM mpya yake wame- drop? Kumbuka hizo ni mukuu kutoka ilani ya CCM yenyewe. NB: Moderator achia uzi ujitegemee, wala usiupotezee maana hizo hapo ni screeshot za kwenye ilani sio maneno yangu. Ukiondoa uzi nitakulaani.