Kutoka kizazi cha Frank Lampard mpaka Jordan Henderson...

Tatizo Lao Hawatafuti Kocha Wa Mafanikio Bali FA kwa Unazi Wao Wa Kuuvaa Ubritisb Huishia Kuchukua Makocha Ambao ni Failure Katika Vilabu Vyao Wakawapa Majukumu Ya Timu ya Taifa...
Nakumbuka atleast Erickson/Capello walifanya kazi nzuri kidogo itabd wafanye maamuz magumu waajiri kocha kutoka nje nasikia Pellegrini anaeza pewa timu
 
Nakumbuka atleast Erickson/Capello walifanya kazi nzuri kidogo itabd wafanye maamuz magumu waajiri kocha kutoka nje nasikia Pellegrini anaeza pewa timu
Tatizo lao kubwa sidhani kama ni mwalimu wana matatizo mengi wale kwanza ujuaji mwingi akitokea mchezaji ana kipaji cha kawaida tu mwingereza basi watampamba weeeh mpaka basi pili tizama mfano wa rahim au Carroll bei walio nunuliwa na viwango vyao uwanjani ni mbingu na ardhi aah the three lions ila sifichi mahaba yangu kwao mimi ndio timu yangu kweli kipendacho roho. ..
 
Bora kidogo ile ya euro 96 leo ukiangalia seamen na Joe au neville na walker au rose na Stuart peace hupati ladha kabisa achilia mbali mkungu Adams umfananishe na cahill hapo kati kaka mkuu paul ince na platt aah hawa kina dier na lalana kweli huko mbele sasa shearer mara sherringham huku mcmanamann bila kumsahau gazza hawa waligusa nusu fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…