Hili ndio swali ambalo lilitakiwa liulizwe.Huyo scout wenu ana uzoefu wowote ule wa Bara la Afrika? Au atafanya hiyo scout kwa ajili ya wachezaji wa Uholanzi?
Je kuna jopo la watu wa scouting halafu ndiye mkuu wao, au yeye pekee ndiye atakuwa ana husika kwa moja kwa moja katika scouting?Hili ndio swali ambalo lilitakiwa liulizwe.
By the way nimesoma mahala nimeona ametajwa kuwa ni mzoefu wa ligi hii na soka ka Africa mashariki na kati.
Kwa mujibu wa taarifa ilivyowekwa ni kwamba yeye ni mkuu wa scouting ikimaanisha kuna scout wengine zaidi ila yeye ndio muidhinishaji wa mwishoJe kuna jopo la watu wa scouting halafu ndiye mkuu wao, au yeye pekee ndiye atakuwa ana husika kwa moja kwa moja katika scouting...
Kwavile anaipenda timu hilo linawezekana, ila tu jiulize je boss atakuwa yupo taayari kuingia mfukoni kwa wale sahihi watakaopendekezwa? Maana mfuko unavyonona ndipo na watu wa maana unaweza kuwapata.Kwa mujibu wa taarifa ilivyowekwa ni kwamba yeye ni mkuu wa scouting ikimaanisha kuna scout wengine zaidi ila yeye ndio muidhinishaji wa mwisho....
Move nzuri sasa wale wazee wa kamati ya usajili inabidi wamsikilize na si kiendekeza 10% na tamaa zao.Kuna shida hii klabuView attachment 2634780
Hivi nyie watu wa Uto mnamchukuliaje Mo?Kwavile anaipenda timu hilo linawezekana, ila tu jiulize je boss atakuwa yupo taayari kuingia mfukoni kwa wale sahihi watakaopendekezwa? Maana mfuko unavyonona ndipo na watu wa maana unaweza kuwapata.
Hilo limeulizwa katika mfumo wa swali. Na hata hivyo kuna wachezaji waliohusishwa kuja Simba lakini hawakuja sababu ya kutokubaliana katika gharama za usajili. Mfano ManzokiHivi nyie watu wa Uto mnamchukuliaje Mo?
Mnamuona bahili sana eti?
Ishu ya Manzoki ilikuwa ina mambo mengi yaliyoomekana kuwa kikwazo.Hilo limeulizwa katika mfumo wa swali. Na hata hivyo kuna wachezaji waliohusishwa kuja Simba lakini hawakuja sababu ya kutokubaliana katika gharama za usajili. Mfano Manzoki
Huwezi kusikia maneno ya upsnde mmoja halafu ukahitimisha kuwa upande wa pili ndio wenye makosa.Ishu ya Manzoki ilikuwa ina mambo mengi yaliyoomekana kuwa kikwazo....
Sorry we unamuabudu Mungu?Huwezi kusikia maneno ya upsnde mmoja halafu ukahitimisha kuwa upande wa pili ndio wenye makosa.
Mungu yupi?Sorry we unamuabudu Mungu?