Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Umechangia club sh ngapi kijana hadi useme wamekuletea wachezaji kama Okwa!? Au ndo wale wazee wa lawama nyingi wakati mnachanga 0 kwa klabu?Naona ni kutupumbaza mashabiki , fanyeni sajili vizuri na sio story alaf badae ndio mnatuletea Upupu kama OKWA.
Kwani huko majuu kila mchezaji anayetakiwa na club huwa anasajiliwa? Mnataka mtu atoe tu pesa ninyi mmetoa sh ngapi?Kwavile anaipenda timu hilo linawezekana, ila tu jiulize je boss atakuwa yupo taayari kuingia mfukoni kwa wale sahihi watakaopendekezwa? Maana mfuko unavyonona ndipo na watu wa maana unaweza kuwapata.
Manzoki milion 400 huku mkataba umebakiza miezi miwili wewe ungelipa?Hilo limeulizwa katika mfumo wa swali. Na hata hivyo kuna wachezaji waliohusishwa kuja Simba lakini hawakuja sababu ya kutokubaliana katika gharama za usajili. Mfano Manzoki
Afadhali wewe umeuliza kwanza, ingawa hata mimi sina jibuHuyo scout wenu ana uzoefu wowote ule wa Bara la Afrika? Au atafanya hiyo scout kwa ajili ya wachezaji wa Uholanzi?
Sijui Mungu yupi na ni vyema ukanitajia specific ni Mungu yupi.Mungu yupi?
Ule mchango wa ujenzi wa uwanja mo arena tulochanga uko wapi mkuu na hamjawahi kutueleza ulitumikaje badae mnatuletea Duduwasha OKwA.Umechangia club sh ngapi kijana hadi useme wamekuletea wachezaji kama Okwa!? Au ndo wale wazee wa lawama nyingi wakati mnachanga 0 kwa klabu?
Mpira wa miguu hasa huku nyumbani Africa ni zaidi ya kufanya tour banduguKwa mujibu wa taarifa ilivyowekwa ni kwamba yeye ni mkuu wa scouting ikimaanisha kuna scout wengine zaidi ila yeye ndio muidhinishaji wa mwisho
Huyu hata ukienda kwenye page yake utaona ana uzoefu na ligi yetu, kafanya tour nyingi kwenye timu za hapa nyumbani.
Wasiwasi wangu ni kwamba anaweza kufanya maamuzi sahihi?
Hahahaha. Nakumbuka bibie alipofanyiwa purukushani pale taifa baada ya kutaka kufuata utaratibu wake. Watu wakaambiwa watume kwa tigo pesa wakajaa! Yani ujenge uwanja kwa mchango wa tigo pesa?Ule mchango wa ujenzi wa uwanja mo arena tulochanga uko wapi mkuu na hamjawahi kutueleza ulitumikaje badae mnatuletea Duduwasha OKwA.
Namueshimu MO kama mfanyabiashara aliefanikiwa ila linapokuja suala la uwekezaji wake kwenye Simba! hapo napata mashaka na huo uwekezaji maana una sintofahamu nyingi.Ishu ya Manzoki ilikuwa ina mambo mengi yaliyoomekana kuwa kikwazo.
Lakini kama ulimsikiliza Mo kwenye zile interviews zake utakuwa ulimsikia alivyosema alitoa bilioni kadhaa kwa ajili ya usajili
Lakini alieleza kuwa kuna tetesi anazisikia ambazo bado yeye hawezi kuzithibitisha zinazodai watu wa ndani ndio waliokuwa wanazipiga hizo hela kwa kuleta wachezaji wa gharama ya chini halafu yeye anaambiwa kuwa amenunuliwa kwa pesa ndefu.
Mpaka hapo utaona ishu sio MO na swala la ubahili, ila kuna watu ambao sio waaminifu ndio wanaokwamisha
Swali zuri sana, ikumbukwe pia sajili wakati mwingine ni kamati, ikitokea tofauti na matarajio itakuwaje? Kumbuka wanasimba wanatamani kuona timu yao inafanya usajili kabambe.Kwa mujibu wa taarifa ilivyowekwa ni kwamba yeye ni mkuu wa scouting ikimaanisha kuna scout wengine zaidi ila yeye ndio muidhinishaji wa mwisho
Huyu hata ukienda kwenye page yake utaona ana uzoefu na ligi yetu, kafanya tour nyingi kwenye timu za hapa nyumbani.
Wasiwasi wangu ni kwamba anaweza kufanya maamuzi sahihi?
Umemaliza mkuu 🤴Namueshimu MO kama mfanyabiashara aliefanikiwa ila linapokuja suala la uwekezaji wake kwenye Simba! hapo napata mashaka na huo uwekezaji maana una sintofahamu nyingi.
MO amekuwa na kauli tata sana linapokuja la maendeleo ya club ya Simba,nakumbuka wakati fulani aliposusa kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba, katika maelezo yake aliyoyaweka katika kurasa zake za mitandao ya kijamii, alisema kwa sasa kwa kushirikiana na balozi wa uingereza wakati huo,kuwa anaachia uenyekiti wa bodi ila atajikita zaidi kwenye timu za vijana za Simba.
Atatengeneza miundombinu bora ya timu za vijana ili kuzalisha wachezaji wenye vipaji kwa manufaa ya Simba. Ila mpaka sasa zaidi ya miaka mitatu hakuna hata jambo moja halilofanya kwenye hizo timu za vijana.
Jambo lingine haliwahi kuweka taarifa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akionesha picha yuko kwenye ofisi za club ya Juventus uko Italia! Akiandika kuwa ameenda hapo kutafuta ushirikiano wa club ya Simba na Juventus na washabiki wa Simba wategemee ushirikiano wenye faida na hao wajukuu wa kibibi kizee cha Turin!! Ila mpaka leo hakuna kitu kama icho.
Bado uyo MO aliwahi kuweka picha akiwa marekani na mmiliki wa club moja tajiri ya uko kwa mabeberu akisema amepata ushirikiano wa tajiri uyo na club ya Simba, hivyo Simba wataenda kufanya pre-season marekani!! ila mpaka leo Simba hawajawahi kukanyaga uko USA hata kwa mualiko wa kunywa soda tu!!
Hivyo ni ngumu sana kumuamini uyu Muhindi kauli na matendo yake haviendani kabisa, hapo mashabiki wa Simba ndio wanapata mashaka juu ya uwekezaji wake kwenye club yao,ni mara mia asiwe anaweka propaganda zake hajue watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya 60, kwamba unaweza ukawadanganya tu.
Anadai ametoa 1.5 billion kwenye usajajili hivi kwa akili ya kawaida ya mfanyabiashara kama MO anaona watu wanaleta wachezaji kama mzungu Dejan!mchezaji kama Akpan,mchezaji kama okwa!;tuseme yeye ashtuki tu!! Harafu timu inaenda kucheza champion league!? Mimi naona Muhindi hata hizo pesa za usajili hajatoa ni mbwembwe tu!
Muhindi anavyojulikana kwa ubahili atoe 1.5 bilion awape watu (waswahili)wasajili tu bila ya yeye kuwepo au ndugu zake hio kitu ni ngumu sana kwa wahindi.
Mwisho MO ndio ameinua Simba huo ndio ukweli ila pia yeye tena ndio ameifelisha Simba kwasababu amekosa pesa za kusajili wachezaji wa kupambania kombe la champion league.
Ona sasa akili kama hizi, shabiki, mwanachama ananafasi muhimu sana kwenye ustawi wa timu sio lazima atoe fedha tangable kwa klabu.Umechangia club sh ngapi kijana hadi useme wamekuletea wachezaji kama Okwa!? Au ndo wale wazee wa lawama nyingi wakati mnachanga 0 kwa klabu?