Zanzibar 2020 Kutoka kwa Ally Saleh kura ya mapema Zanzibar

Cheka na nyani uvune mabua - pendekezeni njia mbadala ili mwenzako anapokugusa makalio nawe mjibu kwa uzito huo huo
 
Duuh! Nim
Nimesoma maandishi yako kwa makini sana na nikaangalia katikati ya mistari kisha nikatumia jicho la tatu nimekuelewa vema. Hasa hasa hii sentensi:- " hivyo piga ua galagaza rais wa Zanzibar ni lazima atoke CCM!"
 
UNATUTISHA?
 
Paschal umepotoka sana ,wakati katiba ya Zanzibar imebadilishwa ulitakiwa analysis yako ijikite huko.Baraza la mawaziri linajikita katika kujadili mambo ya kitaifa (out and in) sio ya CCM na katiba ya Jamhuri ni ile ya 1977 wala haijasema Rais wa ZANZIBAR asiiingie au aingie kwenye Baraza la Mawaziri Tz Bara..sijawahi kumuona Shein ktk Baraza la mawaziri Tz Bara wala kwenye Baraza la Usalama wa Taifa.

RAIS wa Zanzibar ni mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Zanzibar wala haingii bara kama waziri wala kama Rais ,kivyovyote vile Serikali ya Zanzibar lazime iwe ya mseto.

Hata hivo Ally Saleh ameongelea kura ya mapema ya wapiga kura 7,000 ,sijaona ulipogusia kuiongelea.

Kura hii iliwahi kupigwa Zimbabwe na tuliona wote madhara yake (yalikuwa ni negative).

Najua wewe ni kada unatetea CHAMA chako..ila Kwenye maslahi ya kitaifa tuweke uchama pembeni.
 
Ukishalewa viroba vyako akili inahamia kwenye miguu kama kuku
 
Mkuu Course Coordinator , somo la uraia, linahitajika sana hapa nchini kwetu Tanzania, tumeparamia mfumo wa vyama vingi wakati instruments ni za mfumo wa chama kimoja!.
Kwa taarifa yako Dr. Shein kwa huku bara ni waziri asiye na wizara maalum!, aliapishwa, sasa kuhudhuria au kuto hudhuria sio yetu, kwani huwa kunaletwa humu mahudhurio ya cabinet?

Wale wanaosubiri kuapishwa kwa rais wa Zanzibar nje ya CCM, mtasubiri sana!, ni sawa na wenye matumaini hewa ya upinzani kuishinda CCM!.
p
 

tuliza wenge

ilianza UNIP,KANU na sasa ni CCM
 
Duuu
 
tuliza wenge

ilianza UNIP,KANU na sasa ni CCM
Utasubiri sana!
P
 
Pascal umezeeka ndio unaanza kujipendendekeza CCM ulikuwa wapi siku zote?????
pole saa tunakuhurumia.

Kwa umli wako hukutakiwa kuwa MaLAYA.
 
Mtanzania ni mtanzania tu, huwezi kuamini huyu ni yule Paskali aliyekua anatoa hoja zenye mshiko na maslahi mapana ya nchi. Njaa na maslahi binafsi yanamfanya mtu auze utu wake kabisa, kutokujali haki na wengine na hata kuyafungia macho maumivu ya wengine. Leo Paskali na Amber Rutty hawana tofauti kabisa.
 
due to legal technicalities za katiba ya JMT, kuhusu serikali ya JMT, hatuna kipengele chochote cha kuruhusu serikali ya mseto, rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT, hivyo lazima awe ni kutoka chama kile kile cha rais wa JMT.
P
The time will tell a story
 
due to legal technicalities za katiba ya JMT, kuhusu serikali ya JMT, hatuna kipengele chochote cha kuruhusu serikali ya mseto, rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT, hivyo lazima awe ni kutoka chama kile kile cha rais wa JMT.
P
Mtabadilisha katiba kumuondoa Waziri asiekuwa na wizara maalum, nafasi hio haikuwahi kuwa na faida kwa Wazanzibari zaidi ya kumtajirishi balahau sheni
 
Sikutegemea kusoma huu UHARO tafauta shughuli za kufanya badala ya kupoteza muda wa kujipendekeza kwa watawala mbona njia za kupata pesa ni nyingi si lazima uwe kiongozi wa kisiasa narudia tena tafuta kazi ya kufanya Pascal achana na blah blah njaa mbaya hujifunzi tu mungu kakupa pengo na mkono mbovu ila u never learn wewe muda wote unaendekeza njaa tu.
 
due to legal technicalities za katiba ya JMT, kuhusu serikali ya JMT, hatuna kipengele chochote cha kuruhusu serikali ya mseto, rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT, hivyo lazima awe ni kutoka chama kile kile cha rais wa JMT.
P
Hahaha ULAZIMA huo unatoka wapi, ikiwa wananchi wameamua rais awe Maalim Seif?!

Kwamba ili aingie kwenye cabinet ya JMT lazima awe ccm?!

Vipi Lisu na CHADEMA wakashinda Tanganyika na Zaakashinda Maalim Seif na ACT, katiba inafutika au ndio tunaanza upya?!
 

Kwanini tunapoteza pesa na rasirimali kufanya chaguzi?
 
Kwahio in short haya ni maigizo ?, duh lakini tunatumia gharama kubwa sana kufanikisha haya maigizo si bora tu tungeamua kama hatutaki / hatuwezi demokrasia tukaachana nayo na sio kuwa na demokrasia ya kwenye makabrasha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…