Hakuna maisha wanayokula zaidi ya umaarufu tu, fight mkuu.Farhan, dogo tumesoma nae mahenge kwa ndorobo sahivi anakula maisha clouds.
Una uhakika ni Simba mkuu sio Al Hilal ndio wana hasira na Yanga??Simba wana hasira sana na Yanga.
Kwahiyo hiyo hali ndio inawatesa toka 1998?Mangi haujui mpira wa Africa nje ya uwanja ?
Wataanza na kuiponda preseason yao. Watakuja na quality ya wachezaji,ubora wa Nabi, uwekezaji wa timu na watamalizia na usajiri.Wachambuzi hua wanaenda na upepo hayo anayo yasema ikitokea Yanga akashinda huko Sudan utasikia wanavyo badili gia
Shikamoo KakaWachambuzi hua wanaenda na upepo hayo anayo yasema ikitokea Yanga akashinda huko Sudan utasikia wanavyo badili gia
[emoji23][emoji23][emoji23] ukolo ni laanaHauwezi kupambana kimataifa Kama haufanyi mazoezi ya kimataifa.changamoto mpya ni muhimu.wewe unacheza na mbuni unakwenda kupambana na kocha aliyebeba kombe la shirikisho afrika utamuweza?
Alooh!Uto wakishatolewa caf champions wanakwenda kukutana na bingwa mtetezi Rs barkane au Pyramids shirikisho.mbona maji wataita mma.
Hamna akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anakula matapishi yake.
Huyo anajiona anaujua sana mpira kisa kupata shavu hapo clouds
Mzee Rage ni geniusHamna akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa yeye ametoa maoni yake na ni kweli uhalisia upo hivyo...
Kwani yanga alichofanikiwa nini????
Si alifurushwa mapema tu katika ligi ya mabingwa,na simba akaendelea.....
Tatizo lenu mnafikiri kucheza kombe la luza ni sifa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mlifeli katika ligi kusudiwa mmeangukia ligi ya vilaza......hata simba naye angefeli sasa hivi ungemkuta yupo huko luzaz fenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]