pole mwanangu
nishapoa mamy
love u sana douta
nyumbani kwako kuna mazabahu? Andaa kabisa kwaajili ya kupokea upako oooooh haleluyah........!!
Aww! Trekta????
l maskini!! Excel mkweo hakutaki!!Achana na Excel, hatjalipa mahari au hata blanket la mama mkwe wake Lady doctor.
Baba Paroko Excel anaonekana muungwana. Joho la kanisani tupa kule.
Wifiiii.....masona
afu weweeeeeeee
abee dota umeniita!!
watu tunatafuta mitaji piga kimya!!
taratibu pacha.... miss neddy baba yake ni huyuhuyu
​mbuta nanga we mtt nishakushindwa!!nirudi nyumbani kufanya nini
muda wa kuijaza nnchi ndo huu
​shem una utani wa ngumi wewe!!Hahaha! Umenichekesha sana mpenzi ah sore shemeji.
usijali mamii nitaongea na Excel naamini atanisikiliza la sivyo namwaga radhi apate laana
kakufanyaje tena bebii, hajui kuwa we ndo mwanangu wa pekee wengine wote ni geresha tu?
mamiiiii si unamuona mamdogo Passion Lady anavyonifanya eeeeeh
hahahahahaha ulegee am not source of finance