Kutoka kwa legend Edo Kumwembe

Mimi nakataa hiyo sio post ya Edo, bandiko limejaa kejeli fulani hivi, Edo hajawahi kuwa na kejeli kwenye facts.

Prove me wrong.
 
Hii habari imezunguka sana facebook, nashangaa mtu baada kuona simba haina nafasi anafanya recycling ya habari
 
Mbona hizo nguvu hamkuzianzisha mapema hadi mkapigwa dar 2 lagos ?
 

Attachments

  • E959B227-B4F0-42C5-93A8-CEEDAED8D674.jpeg
    15.9 KB · Views: 17
Kumbe mpaka CAF kuna viti maalum.
 
Mbna mwaka jana, mlisimamisha Dar kwa kombe hilo la Bonanza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Na ndiyo tulikubaliana wote kuanzia mwaka jana, ya kwamba Kombe la Mapinduzi litakuwa ni Bonanza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…