Kutoka kwenye Soka la Kimataifa hadi Bongo Flava!

Kutoka kwenye Soka la Kimataifa hadi Bongo Flava!

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Huyu ni aliyewahi kuwa golikipa wa vilabu maarufu, Peter Manyika.

Juzi nilikia Singo yake, dah! maisha ni kujaribu kila fani, jamaa anaimba muziki wa kizazi kipya. Mashairi machache ninayoyakumbuka kwenye huo wimbo wake unaoitwa 'Wololo Wololo' ni ...unaishi Masaki lakini upigi mswaki....wanasoka wabongo njaa kali kwa kushindia mihogo..! Mwisho niulize ni lini wakati wa kujua vipaji vyetu.

Asubuhi au jioni wakati wa lala salama?
 
Back
Top Bottom