Kutoka magazetini: Wema ndio habari ya mjini afunika wengine wote

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361














 
Reactions: MTK
Hakuna tukio lililoniumiza jana kama hatua ya Wema Sepetu kuhamia CHADEMA. Sikutaka huyu binti mrembo na ambaye nampenda sana kutoka CCM. Najua ndani ya CHADEMA anaenda kupotea kabisa...

Cha ajabu leo kapata coverage kubwa sana. Kumbuka jana Makonda alikuwa na Press Conference, Siro alikuwa na Press Conference ila hawajapata coverage kubwa kama Wema.

Huyu binti ana nguvu na mvuto wa ajabu
 
Ni kawaida sana kwa wema kua magazetini toka enzi na miss, mahusiano na kanumba hadi kwa diamond ametapakaa sana kwenye magazeti sasa cha ajabu nini hapo?
 
Ni kawaida sana kwa wema kua magazetini toka enzi na miss, mahusiano na kanumba hadi kwa diamond ametapakaa sana kwenye magazeti sasa cha ajabu nini hapo?
Cha ajabu ni kuweza kuwapiku vigogo wa kitaifa na kuwa front page headline news katika serious newspapers; Huioni hiyo angle?!
 
Ndo maana tumesema kwenye magazeti yeye na masogange mbona kawaida yao kwa sasa ndo anaonekana mpya!

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Mtu yeyote mwenye ushawishi ktk jamii si wa kumpuuza.vijana wa dotcom watamfuata wote bila kujali mambo ya magufuli kafanya nini
 
NIKIKUMBUKA ENZI ZILE ZA AMINA CHIFUPA KUTIKISA MAGAZETINI. NAMHURUMIA WEMA. Muda muda unaongea mengi,maisha haya.
 
Wema kule hajapotea atatimiza lengo lange mapema kuliko CCM kwenye mkanyagano na mtifuano wa majina makubwa. Wanaijua siasa watanielewa.
 
Atungiwe wimbo wa kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
 
Wema kule hajapotea atatimiza lengo lange mapema kuliko CCM kwenye mkanyagano na mtifuano wa majina makubwa. Wanaijua siasa watanielewa.
Na huyo jamaa anayesema inamuuma ni mnafiki wa kutupwa. Kama inakuuma sana unatesekea nini wakati sumu zipo? Jiue tujue imekuuma. Unajifaragua hapa eti kapotea, kwani Chadema ni porini? Watu wana mawazo dumavu nchi hii kuliko sehemu yoyote duniani.
 
An enemy of your enemy is your friend
 
Magazeti ya kesho
Wema apeleka "Gundu" Jangwani azidi kumtia nuksi Manji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…