Kutoka Maktaba: Baadhi ya Vitabu Katika Historia ya Zanzibar na Mapinduzi

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
KUTOKA MAKTABA: BAADHI YA VITABU KATIKA HISTORIA YA ZANZIBAR NA MAPINDUZI

Baadhi ya waandishi wa vitabu hivi tulifahamiana na walio hai tunafahamiana.

Baadhi ya vitabu hivi nimevifanyia mapitio na yakachapwa mitandaoni na katika magazeti mbalimbali.

Baadhi ya vitabu hivi nimeshiriki kidogo sana katka uandishi wake.

Vitabu hivi ukivisoma vinakupa historia ya Zanzibar kutoka kona zote.






Morning Trumpet
Kipindi Cha Mapinduzi Kennedy na Phoya

Hilda Phoya

 
Mr Mohammed vinapatika. Soft copy??
 
Baba yangu na mzee wangu Mohamed.
Samahani huyo dada hapo ni mfanyakazi wa humo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…