Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hii ilikuwa ni ile Barcelona yenyewe, yaani Messi, Iniesta, Xavi dhidi ya Celtic ya akina Victor Wanyama mwaka 2012 kwenye Uefa. Barcelona alikufa 2-1 licha ya muda mwingi wa mchezo kumiliki mpira kwa kiwango cha juu. Hii ndio ile mechi Xavi alipiga pasi nyingi kuliko timu nzima ya Celtic lakini waliishia kufungwa.
Kumbe kuna muda ball possession sio kila kitu katika soka! Hebu tazama takwimu za hii mechi, kisha njoo uwashauri mashabiki wa Man Utd kuelekea mchezo wao dhidi ya Barca.
Kumbe kuna muda ball possession sio kila kitu katika soka! Hebu tazama takwimu za hii mechi, kisha njoo uwashauri mashabiki wa Man Utd kuelekea mchezo wao dhidi ya Barca.