Kutoka Maktaba: Siku Messi na Wenzake Walipofungwa na Celtic

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hii ilikuwa ni ile Barcelona yenyewe, yaani Messi, Iniesta, Xavi dhidi ya Celtic ya akina Victor Wanyama mwaka 2012 kwenye Uefa. Barcelona alikufa 2-1 licha ya muda mwingi wa mchezo kumiliki mpira kwa kiwango cha juu. Hii ndio ile mechi Xavi alipiga pasi nyingi kuliko timu nzima ya Celtic lakini waliishia kufungwa.

Kumbe kuna muda ball possession sio kila kitu katika soka! Hebu tazama takwimu za hii mechi, kisha njoo uwashauri mashabiki wa Man Utd kuelekea mchezo wao dhidi ya Barca.

 
Asante kwa kumbukumbu murua, nazidi kupata imani safari hii barca anakufa! Hawatoki pale OT then tukienda kwao tunapaki basi kwa ajili ya sare!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamjazuiwa kujifariji ndugu zangu, so endeleeni tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Baada ya kocha wa Man u kuulizwa vipi umeonaje game au umejifunza nini baada ya game ya Barcelona na Atletico de Madrid kumalizika? Majibu yake "Kwakweli Messi atabaki kuwa juu tena juuu kileleni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ pia bila kusahau juu tena juuu mawinguni" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nnachoamini ni kuwa Barcelona haitakosa goli 3.

Nawahurumia sana hawa watoto wa malkia kwa huyu kiumbe kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka, yaani atawanyanyasa sanaaaa, dume la kukusanya kijiji πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜†
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waache wajifanye posesheni haimati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…