Kutoka Maktaba: Unaweza Kuwataja Wachezaji hawa

Kutoka Maktaba: Unaweza Kuwataja Wachezaji hawa

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hii ni Arsenal iliyokuwa imesheheni mastaa wa kutosha tena wengine wakiwa ni washindi wa kombe la dunia.

Wataje nyota unaowakumbuka pichani hapo chini!
20190510_190000.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20190510-004554_Twitter.jpeg
    Screenshot_20190510-004554_Twitter.jpeg
    46.9 KB · Views: 21
Hii ni Arsenal iliyokuwa imesheheni mastaa wa kutosha tena wengine wakiwa ni washindi wa kombe la dunia.

Wataje nyota unaowakumbuka pichani hapo chini!
View attachment 1093496
Ray poula, David Seamen,Denis Bergcamp, Martin Kewon, Emanuel Petit, waliochuchumaa kutokea kushoto Patrick viela, Lee dixon,TonyAdam, Mark Overnass , Thiery Henry, Silvinho.
 
Niger winterburn, Denis Bergcamp, Martin Kewon, Emanuel Petit, waliochuchumaa kutokea kushoto Patrick viela, Lee dixon,TonyAdam, Mark Overnass , Thiery Henry, Silvinho.
Duuuh! We muhenga walahii
 
Niger winterburn, Denis Bergcamp, Martin Kewon, Emanuel Petit, waliochuchumaa kutokea kushoto Patrick viela, Lee dixon,TonyAdam, Mark Overnass , Thiery Henry, Silvinho.

Golia david seaman!! Hii ndio arsenal iliyonifanya niipende arsenal kwa timu za uingereza, km si arsenal hii basi ningekuwa mpenzi wa Liverpool kwa jinsi nilivyokuwa namuhusudu captain steven Gerrard

Arsenal hii ilikuwa inanikosha mnoo, dennis bergkamp bonge moja la player, ana jicho la 3, hatar akiwa na mpira mguuni, skills za kutosha akili nyingi kichwani!!
Th14 sijui nimuelezeaje huyu jamaa striker yangu bora namba 2 nyuma ya ronaldo de lima. Ana speed,skills,jicho la goli, jicho la pasi, anajua kufunga..

Patrick viera hatari akiwa na mpira, hatari asipokuwa na mpira mguuni, mapafu ya mbwa, mtu mgumu pae kati.. So sad alituacha arsenal tukiwa bado tunamuhitaji.

Wengine kwa haraka haraka namuona winterbun, lee dixon, petit, overmass(winga teleza), martin keown, tony adams na silvinho.
 
Hapo nimemuona TH 14 (Tiery Henry ) tu
 
Niger winterburn, Denis Bergcamp, Martin Kewon, Emanuel Petit, waliochuchumaa kutokea kushoto Patrick viela, Lee dixon,TonyAdam, Mark Overnass , Thiery Henry, Silvinho.

Umejitahidi sana, rekebisha spelling za majina tu
 
Hii ni Arsenal iliyokuwa imesheheni mastaa wa kutosha tena wengine wakiwa ni washindi wa kombe la dunia.

Wataje nyota unaowakumbuka pichani hapo chini!
View attachment 1093496
Japo mi si mpenzi wa Arsenal ila nawajuwa hawa machizi. Kutoka juu kushoto:Ray Parlour, David Seaman, Dennis Bergkamp, Martin Keown, Emmanuel Petit. Waliochuchumaa chini kushoto kwenda kulia Patrick Vieira, Lee Dixon, Tony Adams, Marc Overmaars, Thierry Henry wa mwisho nimemsahau ila ni Mbrazil
 
Si Spurs tu, Liverpool na Chelsea je? Hawa walikuwa vibonde eti leo hii wako juu. Premier League ni kwa ajili ya Man Utd na Arsenal tu, hawa wengine wote ni wasindikizaji tu.
Ni vile unaonekana kutojua kitu chochote, Liverpool na Man. Utd ni timu pekee za epl zilizoko katika level ya pekee na ya juu kwa ndani na nje ya Uk. Chelsea, Arsenal, Tot. Spurs west ham, Newcastle, everton etc hizi ni timu za kawaida sana kama zilivyo Mtibwa sugar, kager, prison, jkt tz kwa hapa Tz. Kwa hivyo Arsenal kwa wakati fulani ilibahatika kuwa na wachezaji wa maana LAKINI timu yenyewe haina chochote cha maana cha kujivunia ilichowahi kufanya kwa wakati wowote.
 
Ray poula, David Seamen,Denis Bergcamp, Martin Kewon, Emanuel Petit, waliochuchumaa kutokea kushoto Patrick viela, Lee dixon,TonyAdam, Mark Overnass , Thiery Henry, Silvinho.
Kweli wee Muhenga, alafu utakuwa the gunners mwenzangu, vipi Chelsea tutamuweza kweli final ya Europa cup
 
Si Spurs tu, Liverpool na Chelsea je? Hawa walikuwa vibonde eti leo hii wako juu. Premier League ni kwa ajili ya Man Utd na Arsenal tu, hawa wengine wote ni wasindikizaji tu.
Unawazimu wewe eti Liverpool walikuwa vibonde ,yaani na siku hizi ilivyokuwa rahisi kupata historia bado hujui soka la England jifunze kutumia hata Google

Arsenal kuna kipindi walikuwa wazuri na ndio ulikuwa wakati wao ukawapenda basi hiyo isiwe sababu ya kuwadharau Liverpool the father of English soccer [emoji460] the conquer of Europe
 
Nilikuwa mdogo sana under 5 hivi, lakini nakumbuka maneno haya kutoka kwa mtangazaji.

"Sylvinho with a ball, Sylvinho it's Sylvinho Sylvinho and still Sylvinho, Sylvinho Sylvinho Gooool. You won't believe this but is Sylvinho"

Hili goli nikumbusheni alifunga mechi ipi? Nahisi ilikuwa Champions League.
 
Back
Top Bottom