Kutoka Maktaba ya bunge la Marekani, Picha ya Sultan Suleiman muuaji wa mtoto wake wa kumzaa mwenyewe

Kutoka Maktaba ya bunge la Marekani, Picha ya Sultan Suleiman muuaji wa mtoto wake wa kumzaa mwenyewe

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,229
Kumbe Pamoja na Umbufi ambao huyu jamaa alifanya kwenye historia ya Ottoman, kiasi cha juzi kusababisha vilio kwa wapenzi wa Tamthila inayogeza maisha yake ya Sultani inayorushwa AZAM TV, naona Dunia bado kuna vitu inathamini kama mchango wake,

Katika pita pita zangu nakutana na website ya Capital Building, Jengo la Bunge la Congress la Marekani, ambapo kisanamu chake kimewekwa katika moja ya kuta za jengo hilo, na maelezo ya kuwa ni mtu alie changia katika kushape mfumo wa sheria na haki. Wenyewe wanamuita na kumsoma kama Suleiman The Kanun au the lawgiver https://www.aoc.gov/art/relief-portrait-plaques-lawgivers/suleiman

Ila Naungana na wadau wote wanaodhani kuwa hatima ya Uturuki kama Taifa, ilichepukia hapa, kwenye kutoka kwa Suleiman kwenda kwa Selim II kama Mustafa angebeba kombe pengine leo tungekuwa tunaongea historia nyingine ya dunia, according to the series kijamaa kilikuwa very visionary.

Hata kitukuu cha kitukuu cha kitukuu cha Selim, kisultan Mehmed VI

Kilipokuja kusanda game kwenye vita ya kwanza ya dunia, na kuruhusu Waingereza waigawanye Ottoman Empire, pengine labda lakini kingekuwa ni kitukuu cha bwana Mustafa kingekomaa, Maji hufuanda mkondo.
View attachment 1084798
 
Back
Top Bottom