Kutoka maktaba ya Saigon: Khitma ya Dr. Omar Juma Makamu wa Rais wa Tanzania 2001

Kutoka maktaba ya Saigon: Khitma ya Dr. Omar Juma Makamu wa Rais wa Tanzania 2001

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074


Mwanachama mwandamizi wa Saigon Sheikh Aziz Salim akiagana na Dr. Mohamed Ali Shein aliyehudhuria kisomo cha kumrehemu Dr. Omari Ali Juma kilichofanyika Club ya Saigon Mtaa wa Narung'ombe na Livingstone 2001


Marehemu Habib Mwamba mwanachama mlezi akiwa amesimama pamoja na mtoto wa marehemu Dr. Omari Alli Juma kulia kwake na
kushootoni Hadi Chuma. baada ya kusomwa dua ya kumrehemu

Hizi picha mbili ni kumbukumbu nzuri sana kwa wana Saigon.

Picha ya Kwanza

Dr. Mohamed Alli Shen Wakati huo akiwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa TZakiagana na wanachama wa Saigon walioshiriki katika Khitma iliosomwa ya Kumrehemu Dr. Omari Alli Juma aliekua Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania hapa klabu ya Saigon. Wanaomsindikiza Dr. Shen ni Marehemu Ibrahimu Khamis Chuwa Mwenyekiti wa Senet wa klabu ya Saigon na huyo anae agana nae ni Aziz Salim.

Picha y Pili

Picha ya pili ni Marehemu Habib Mwamba mwanachama mlezi akiwa amesimama pamoja na watoto wa Marehemu Dr. Omari Alli Juma baada ya kusomwa dua ya kumrehemu hapa klabu ya Saigon.

Kifo cha Dr. Omari Alli Juma alikufa ghafla Mola amlaze mahala pema pia awasamehe makosa yao Ibrahim Chuwa na Habibu Mwamba Aamin...
 
Back
Top Bottom