Kutoka maktaba za kijeshi

Sikuandika makala hii kutoka kwenye kichwa changu. Nimekusanya nyaraka za wakati huo, kuzichambua na kuzitafsiri zile zilizokuwa kwa lugha ya kigeni.
Huo ndiyo ukweli. Yale maasi yalimsononesha na kumdhalilisha sana Mwalimu Nyerere kwani alilazimika kuomba msaada wa jeshi la wakoloni [wale wale ambao aliwaondoa ]ili kurudisha amani.
Kuanzia hapo alianzisha mfumo mpya wa jeshi [kama la china] ambapo wanajeshi wanakuwa wazalendo kwanza kabla ya chochote kile na recruits wa kwanza ni vijana wanachama wa TYL kupelekwa mafunzo jeshini na baadaye ikafuata mgambo.
 

Asante sana Mkuu. Mambo maridhawa kabisa haya japo naona mwalimu ali catch feelings!
 
ungehariri kwanza kabla ya kupest, et coward haahah
 
Madai yako ni nini? Naomba uwe wazi,funguka.
 
Uongo mwingi kuliko ukweli katika hiki kisa.

Kashmiri hakuwa Mwafrika ni Muhindi.

Nyerere hakufichwa St. Peters. St. Peters alienda kusali baada ya uasi kuzimwa.

Kwanini hivi visa hamuwaulizi wahusika? Au muwaulize walioongea na wahusika?
 
Uongo mwingi kuliko ukweli katika hiki kisa.

Kashmiri hakuwa Mwafrika ni Muhindi.

Nyerere hakufichwa St. Peters. St. Peters alienda kusali baada ya uasi kuzimwa.

Kwanini hivi visa hamuwaulizi wahusika? Au muwaulize walioongea na wahusika?
Asalam Walykum.
Nimekumis sana dada yangu.
 
Uongo mwingi kuliko ukweli katika hiki kisa.

Kashmiri hakuwa Mwafrika ni Muhindi.

Nyerere hakufichwa St. Peters. St. Peters alienda kusali baada ya uasi kuzimwa.

Kwanini hivi visa hamuwaulizi wahusika? Au muwaulize walioongea na wahusika?
Wewe ni mjeshi uliye kunywa maji ya bandera,nimekuwa nakufuatilia sana.
 
Note
 
Kweli kabisa na hotuba aliyoitoa Nyerere( kijana wakati huo) akikiri haya yote ninayo.
 
Ninemjibu jamaa anaandika uongo aliyohadithiwa/aliyosoma kwenye makala za wenzake wanaoandika wanachopenda.
Kaandika uongo upi?! Kama una shaka na alichoandika JokaKuu, tafuta makala iliyoandikwa na mzee Job Lusinde kuhusu uasi huu. Yeye alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati huo, na makala ilichapishwa na Raiamwema mwaka jana.
 
Article murua, kuna kitu kimeniingia kichwani sio sawa na kukaa bure. Msahihishane kwa staha wadau.

..makala hii ina makosa mengi.

..nakushauri utafute thread za zamani zinazohusu maasi ya 1964 zina taarifa sahihi zaidi.

..vilevile kipo kitabu kinachohusu maasi hayo na hicho kina taarifa za kuaminika zaidi.
 
Ila usiseme kwamba nyerere ndie aliyewaweka wakuria wengi jeshi. Ni kutokana na mazingira ya vita vya kila siku kati ya majirani ndipo wakuria wakuria wakazoea vita. Sasa muda ulipofika wa kulitumikia jeshi la taifa, kila mtu (mkuria) alitamani kua kwenye jeshi. Ata jamii ya wacheza ngoma wakipata nafasi ya kucheza ngoma kitaifa watafurai. Hivyo basi na sisi tulipopata nafasi ya kuonyesha ubabe wetu kitaifa, hatukupoteza muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…