Kutoka maktaba za Taifa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu acheni kunichekesha kiasi hiki jamani lol!

Anajifanya mjuaji sana.inawezekana aliambiwa kuwa koti limekuzidi umri hilo livue akabisha.anamatatizo kweli huyo jamaa.hebu mtag aje ajione huku.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu acheni kunichekesha kiasi hiki jamani lol!
Tatizo anapenda kutoka kipekee matokeo yake ndio hayo kama kavaa mfuko wa rambo.
 
Zamani tulikuwa hatushoni suti,.
Mshamba wa zamani ndio mjanja wa leo.
Life goes on kikubwa ni unyenyekevu, uadilifu,uaminifu na kutunza ahadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…