Kutoka masaki

Joined
Sep 30, 2012
Posts
21
Reaction score
15
Nimekuwa mfuatiliaji wa zaidi ya miaka mitano wa mtandao huu, sikuwahi fikiri kama ipo siku nitaamua kuwa mwanachama kwa sasa nimeamua niwe mwanachama shiriki ili niwe nawaletea nyeti za Masaki. Kwa kuanzia nakupa moja kali inayomhusu Naibu Waziri Janeti Mbene.
 
Nimeiona jukwaa la siasa!
 

promo zengine bwana haya karibu jamvini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…