B ni mbali, ashuke njia panda ya Cocacola, au Clauds, akishuka Kuna njia ya vumbi upande huohuo wa kushoto hapo kituoni, anyoshe nayo moja kwa moja itamfikisha Kanisani.Ahahahah..wewe panda gar za mbagara - kawe shuka kituo kinaitwa B au mikochen B hivyo hivyo nauli ni 750/= tuuu.Pale kuna boda wanaweza kukupeleka kweny upepo
Hakuna haja ya kupanda gari , Jumapili mapema atabebwa na upepo wa kisulisuli. Yeye aoneshe nia tu atajaliwa hitaji lake.B ni mbali, ashuke njia panda ya Cocacola, au Clauds, akishuka Kuna njia ya vumbi upande huohuo wa kushoto hapo kituoni, anyoshe nayo moja kwa moja itamfikisha Kanisani.
Unadhan mabaharia wanaenda kuoa watu wanafuata nyuchi za bureUnataka kuoa bila dalili? Upepo wa kisulisuli huo