Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Ushirikiano gani watoe. Kwa kipindi chake wengi RAIA wakawaida sana walimpa ushirikiano, sema tu kuna wapayukaji wachache mitandaoni wanaenesha watz hawakumpa ushirikiano. Lakini ki uhalisia ushirikiano ulikuwepoWanafiki sana Watanzania wanaongea tu ila hakuna ushirikiano miongoni mwetu wengi ni waongeaji
Yawezekana.....Yesu aliposulubiwa baada ya kufa ndipo kina pilato wakatambua kuwa wamefanya makosa kumuua! Nyani walifurahia kifo cha bwana shamba,sasa mahindi yameisha shambani nani atalima??
Sio wewe, ni chanjo.Hata Idi Amin anakumbukwa. Naye aliwafanyia waGanda uzalendo uchwara huku akiwaua. Hakuna ajabu dictator kukumbuka
Nenda ukachanje usione soo.Sio wewe, ni chanjo
Ndugu, hakuna kiongozi aliye kamilika, maana kuwa kiongozi haiondoi ubinadamu wako, ukweli ni kwamba genge LA wahuni wa chache wachumia tumbo watunga uongo ama wanatumia mapungufu take machache kuyakuza lakini kiukweli jamaa kapiga kazi kubwa ambayo haina mfano.Tofautisha watanzania baina ya hawa:
"Awamu ya sita imerithi kundi kubwa la wajinga na - the brainwashed to be catered for. Lenye mtizamo hasi katika elimu, sayansi na teknolojia."
Kama walivyo ainishwa wazi wa,i kwenye uzi huu:
Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho
Ndugu, hivi mfano unajenga nyumba, afu ndugu yako kwa kutafuta misifa anabomoa, ili ukamilishe ujenzi wako utachukua hatua gani?Nenda ukachanje usione soo.
Yaani tukumbuke WASIOJULIKANA ?!.
Au tukumbuke kupotezana ?!
Ama kuvuruga mfumo mzima wa democracy ndiyo tumkumbuke?!
Hivi angefanya maendeleo bila kuumiza wenye mawazo tofauti angelipoteza nini? Mkumbuke wewe au nenda kabisa Chato ukahiji.
Ndiyo maana kukawa na sheria. Siyo uhayawani wa kujichukulia sheria mikononi!! Mshtaki wewe. Mwendesha mashitaka wewe. Jaji wewe !! One man showNdugu, hivi mfano unajenga nyumba, afu ndugu yako kwa kutafuta misifa anabomoa, ili ukamilishe ujenzi wako utachukua hatua gani?
Ni kwamba, lazima umshughulikie ipasavyo ili ashindwe kuja tena kubomoa.
Wewe ndiyo dhuluma, maana hutaki kulipa kodi unataka msaada.Wale waliokuwa wakifurahia dhuluma inayofanywa kwa wengine ndio wanaomkumbuka.