Dhuruma ipi? Na mbona waliodhurumiwa hawatoki hadharani kusema ina sisi ndo tunawasemea?Wale waliokuwa wakifurahia dhuluma inayofanywa kwa wengine ndio wanaomkumbuka.
Uzalendo uchwara tupa choooni asante mungu wewe ni FundiHakika mkuu.
Sasa ndy imedhihirika mzalendo ni nani na msaliti ni nani?
RIP MAGUFULI
Dhuruma ipi? Na mbona waliodhurumiwa hawatoki hadharani kusema ina sisi ndo tunawasemea?
Amini Matajiri wengi walifanya biashara kijanja na baadhi wamepata walichostahili kupata ndomana hutawasikia wakitoka hadharani kusema wameonewa.
Imagine mtu anadaiwa kodi 5B hajalipa ndani ya miaka mitano, hataki kulipa kwa hiari alafu account zake zinasoma pesa ndefu tu, huyu mtu unataka abembelezwe alipe?
Tuache kiherehere hao waliodhurumiwa wajitokeze waseme walivyodhurumiwa tuache kuwasemea
Cumer makoMtoto wangu wa kiume wa miaka minne mpaka leo anasema hajamuona leo magufuli kwenye TV doooh machozi hunitoka hata mama ake huwa namuona anafuta machozi
Huyo Lissu kama anafahamu waliofanya dhuruma kwa hao watu kwanini hakuzisaidia familia husika kufungua kesi ili waliohusika wawajibishwe,Ben Sanane, Azory, Mawazo na wale wa kwenye viroba wanatokea vipi hadharani kuelezea dhuluma walizofanyiwa?
Alizofanyiwa Lissu hukupata kuzisikia?
Yuko kichwani kwako peke yakoHabari wana jamvi,
Kiukweli nimevumilia nimejikaza lakini nimehemewa acha niseme ukweli tu.
Mzee baba Magu Watz mpaka sasa wanaumia na nimeliona hili kila Mara katika Moshe zangu na safari za hapa na pale. Afu sasa cha kushangaza mpaka watoto, cha ajabu wakisikia mazungumzo yanayo muhusu wengine mpaka wanataka walie.
Mfano tu mzuri Leo nipo kwenye usafiri wa Masafa marefu naingia ndani nakuta mjadala watu wanaongea kwa machungu sana.. Basi tu ishatokea hakuna namna Mungu ashukuriwe kwa maisha yake hapa Duniani.
Ila kiukweli bila unafiki Mzee baba alikuwa mzalendo sana na anamachungu na taifa ingawa kuna wapingaji. Wanapinga huku mioyo inawasuta.
Ile hoja ni wewe umeiandika kwa mtizamo wako hasi.Tofautisha watanzania baina ya hawa:
"Awamu ya sita imerithi kundi kubwa la wajinga na - the brainwashed to be catered for. Lenye mtizamo hasi katika elimu, sayansi na teknolojia."
Kama walivyo ainishwa wazi wazi kwenye uzi huu:
Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho
Huyo Lissu kama anafahamu waliofanya dhuruma kwa hao watu kwanini hakuzisaidia familia husika kufungua kesi ili waliohusika wawajibishwe,
Sawa mkuu,,Uzalendo uchwara tupa choooni asante mungu wewe ni Fundi
Ile hoja ni wewe umeiandika kwa mtizamo wako hasi.
Kama walikuwa wanadaiwa mbona kila mwaka TRA walikuwa wakiwapa certificate ya tax clearance? Acha kutetea dhuluma wewe.Dhuruma ipi? Na mbona waliodhurumiwa hawatoki hadharani kusema ina sisi ndo tunawasemea?
Amini Matajiri wengi walifanya biashara kijanja na baadhi wamepata walichostahili kupata ndomana hutawasikia wakitoka hadharani kusema wameonewa.
Imagine mtu anadaiwa kodi 5B hajalipa ndani ya miaka mitano, hataki kulipa kwa hiari alafu account zake zinasoma pesa ndefu tu, huyu mtu unataka abembelezwe alipe?
Tuache kiherehere hao waliodhurumiwa wajitokeze waseme walivyodhurumiwa tuache kuwasemea