Kutoka moyoni bila unafiki, Magufuli bado yupo vichwani mwa Watanzania

HII NI AWAMU YA SITA KWA MSAADA WA AWAMU YA NNE
 
Kwa mwendelezo huu wa kutegemea watu na sio taasisi tutaendelea kuwakumbuka waliopita mpaka mwisho wa Dunia...

Anyway ndio maana kuna mdau alisema Uchafu wa Mrisho unamfanya Benja aonekane msafi.., vilevile kwa John na Mrisho na Sasa Suluhu kwa John...

Hatuweze kuendelea kutegemea mtu kwa mwendo huu kila siku tutakuwa tunabadili na kubadilisha, lalama na kulalamika
 
Mtoto wangu miaka 3 aliniuliza " baba, Maufuli = Magufuli yuko wapi?" Alinikumbusha machungu na machozi yakadondoka! Alikuwa ni mkombozi wa Taifa letu kiuchumi lakini basi tena! Akiwa hai nikisikia tu sauti yake kwenye radio, Tv, naacha kila kitu na kusikiliza. Baba nenda salama, utuombee huko uliko.
 
JPM Apumzike kwa amani
 
Ni kweli aliotunyanyasa hatuwezi kumsahau dikteta
 
Reactions: BAK
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tulibahatika sana kupata Kiongozi.

Ndio basi tena, itachukua muda sana kuja kupata Kiongozi mwenye msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…