Uchaguzi 2020 Kutoka Musoma: Kinachoendelea kwenye kampeni siyo hakikubariki

Kuna swali huwa najiuliza hivi vyama pinzani hawarusiwi kwenda na wasanii??
Wasanii wanaogopa kupanda kwenye jukwaa la upinzani.Nafikiri wamejengewa hofu na CCM. Ata Wale wasanii wa kike wanapita mitaani wanasema wanamsapoti mama makamu wa rais sababu ni Mwanamke lakini wanaogopa kupanda jukwa la Mdee.
 
Nyama pinzani wanataka watu waende kusikiliza hoja na siyo tamasha la mziki,
Lakini inaongeza watu katika kampeni hawaoni kwamba ni Jambo zuri na la kuiga

Mimi ningewashauri waige katika hili
Unless kuwe na sababu nyingine
 
Lakini kumuabudu Mungu hajaanzia Musoma, hata kwenye janga la Covid-19 aliwaomba watanzania kufanya maombi.
 
Kwani hujui Rais Magufuli bado ni Rais wa JMT pamoja na kugombea tena? Huoni ulinzi wake ulivyo ukilinganisha na Msaliti Lissu au Membe na wengineo?
Lissu aliwahi kukusaliti nini mana kila siku unaimba huo mwimbo
 
"Siasa ni nguvu yako ya kuwadanganya wananchi" pathetic
 
Sala na Dua za kuiombea Pombe ya Mapumba kuna sehemu tumekwama
 
2015 kulikuwa na sera ya kwamba ''Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu''. Kila mkutano ilikuwa inaanza sara kisha viongozi kumwaga sera na ukosoaji wa serikali Hii unaisemeaje mkuu!! Au ndiyo ile nyani haoni kundule?

Ndio huko mlikoiga tabia hizi!?
 
Damu ya Ben Saanane
Azory Gwanda
Tundu Lissu na wengine tusiowafahamu zimesha walani CCM na serikali yake.
mama samia Hapo kasema ukweli mtupu Maana yeye ndo miongoni mwa maboss wa Askari wao wa CCM hivyo anawajua vizuri weredi wao. Kwahiyo Mimi naamini alichokisema na ndo uhalisia.

Zitto aliutaka uenyekit wa chadema akafukuzwa Chama.
Ben sanane aliutaka uenyekit wa Chama akapotea mpaka leo.
Tundu lissu aliutaka uenyekiti wa Chama akapigwa na vitu vinavyosadikika ni risasi.
F. SUMAYE aliutaka uenyekiti wa Chama akaambiwa kuwa Sumu haionjwi kwa usalama wa maisha yake akaamua kujiweka pembeni na kuchomoka kwenye himaya za mtia Sumu.

Swali; kwanini Kila anaeutaka uenyekiti wa Chama CDM anapatwa na matatizo Ni ipi Siri iliyopo Hapo nyuma?

Je nikweli Mbowe Ni kibaraka wa serikali kwamba hawezi kutoka kwenye kile kiti kwa masilahi ya Taifa?
 
Thubutuu... muulize Wema kilichomkuta na usisahau ya Idi wa Sulu!!
Sasa tunafanyaje maana kwa mtindo huo watadrop kura nyingi sasa

Hakunaga ushindi unaokuja bila nyuma yake kuwa na mafuriko ya watu wakati kampeni

Wajitahidi wajaze watu wakati huu wa kampeni lasivyo watapigwa mtama tena
 
wale viongozi wa dini waliongoza ufunguzi wa kampeni za Lissu pale Kawe hukuwaona?? Gebwe kweli wewe.
 
Hii post iweke kwa matumizi ya baadae
 
wale viongozi wa dini waliongoza ufunguzi wa kampeni za Lissu pale Kawe hukuwaona?? Gebwe kweli wewe.
Kweli mwenyewe GEBWE wewe, umejibu hoja kirahisi namna hiyo akili yako itakuwa imeelewa andiko huku ukikimbia nioocho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…