Kutoka mwanasport: Umeelewa nini hii katuni ya Simba na chama?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
KATUNI KUTOKA MWANASPOTI.
KATI YA SIMBA NA CHAMA
HAPA UMEELEWAJE?

Maelezo ya picha Kwa ambao picha hazifunguki

Picha ya katuni inaonyesha simba mdogo amefungwa kamba shingoni kama mbwa
Kamba hiyo inavutwa na clotus chama
Je umeelewa nini hapo hii picha ya gazette la mwanasport

#FutbalPlanetUpdates

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
We utopolo umejuaje huyo ni chama?
 
Duh! Kwamba Chama ni mkubwa zaidi ya klabu ya 5imba😯
 
Watakuja kukutukana kama ilivyo kawaida yao. Ila ukweli ndiyo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…