Kutoka na usaha kwenye uume

Hongera sana.
Jitihada zako zimezaa matunda.
OTIS
 
Kimbiaaa-Makahaba wa miaka 13 mtaani ni vicheche na machatu usipite pekupeku bila kuvaa viatu,kimbiaaaaaaa fasta kuogopa ukunguru nenda fasta hospital ugonjwa wa gonorea huo!
 

Dr umeandika kitaalamu sana wkt dogo ni end user ndio maana kaenda peku,ebu jaribu kumfafanulia unamaanisha nini unaposema 7/7 au 5/7 maana mie nimezoea 1x2,1x3,2x3 etc
 
Wewe husikii huu wimbo wa Codom mwanangu? Kama ni Gono, Kaswende itatibika, lakini kama na Ukimwi umeupata je. Salamu zao bwana ukitangulia mbele ya haki....Sasa tufanyeje. Hamtaki kusikia. Haya.
 
Gono hilo kaka,ila usihofu gono siku hizi si tatizo,jaribu kupima na ngoma kama huna basi tumia dawa zilizoandikwa humu na nunua na dozi nyingine kwa mwenzi wako,wakati wote kumbuka condom,ukishindwa tafuta nesi akuchome powercef 1gm stat
 
Ndugu, hizo ulizoandika hapo ni prescription drugs for what? Its illegal kununua dawa bila kuonwa na dr.
Mhanga nenda hosp bwana!
 
 
Kwa niaba ya Mupirocin,naomba nijibu swali la nyongeza:

x/7=siku x
x/52=wiki x
x/12= miezi x
x/24=saa x
stat= mara moja tu(mkupuo m1).

Dr umeandika kitaalamu sana wkt dogo ni end user ndio maana kaenda peku,ebu jaribu kumfafanulia unamaanisha nini unaposema 7/7 au 5/7 maana mie nimezoea 1x2,1x3,2x3 etc
 
Ndugu, hizo ulizoandika hapo ni prescription drugs for what? Its illegal kununua dawa bila kuonwa na dr.

Well said King'asti lakini ni kwa TANZANIA TUNAYOIOTA. Sio hii iliochakachuliwa. Nenda famasi leo utauziwa antibiotics hadi kwa bei ya jumla usiulizwe hata kitambulisho chako achia mbali health facility utokayo.
Who cares ?!
Anko wangu ni cashier by proffesional ana duka lake la dawa anawadunga
watu hadi Aminophylline i.v. Nambie umechokaje hapo?!
 
jaman naomba msaada wenu,natokwa na usaha kwenye uume wangu,na hii imenitokea toka juz,ilianza siku mbil baaa ya kufanya mapenz na msichana m1 hiv,nataka kujua ni ugonjwa gan huu,pia nijue nitaponaje,doctors a nid yo helps...

kaka kimbia hospital kwa matibabu yatakuwa magonjwa ya zinaa hayo.....faster wahi hospital
 
jaman naomba msaada wenu,natokwa na usaha kwenye uume wangu,na hii imenitokea toka juz,ilianza siku mbil baaa ya kufanya mapenz na msichana m1 hiv,nataka kujua ni ugonjwa gan huu,pia nijue nitaponaje,doctors a nid yo helps...

Maumivu yakizidi muone Daktari!!
 
Mie namjua bwana afya ana diploma na ana pharmacy kadhaa na wanamuita dr! Mweh!
Nikiwa mdogo nilikuwa naumwa tonsillitis, na for some reason xpen zilihusika kwa sana tu. Nakumbuka nikiwa std 6 or less nilienda pharmacy kununua ampicillin na walinikatalia! Nikaomba septririne wakachomoa! Nikamind kweli manake niliishia hosp na sindano juu! Siku hizi unanunua dawa za malaria kitaa unajinywea tu! Kweli tanzania ya njozi hii!
 
hilo gono bro cha muhimu kata uume kabla halijafika mbali! au nenda pharmacy wakupige sindano ya ceftriaxone 125mg na vidonge vya doxycycline 100mg kila baada ya saa 12 kwa siku 7 probability ya kupona ni 98.7%. ciprofloxacin zimeonyesha resistance sana. remember it is illegal kupata huduma kama hii pharmacy.
 
Boss hii dose ya ceftriaxone ni ya neonate au ndo dose ya gonnorrhea, achome 1g tu
 
Kutokwa usaa kwenye njia ya uume(urethral discharge syndrome) au UDS Ndio jina la kitaalam,na jina la mtaani ni kunyonyesha sasa sijui unanyonyesha kwa muda gani sasa?kuna magonjwa ya fuatayo ambayo huambana na kutokwa usaa sehemu za Siri kwanza kuna kisonono( gonorrhea ) au GC,kuna Trichomas vaginalis(TV),kuna Candida albicans(fungal infection) na mwisho tunahali tunaiita NGUU( non gonoccal urethritis ) vile vile zaidi ya asilimia 30 ya maabukizo ya kisonono huambatana na maabukizo ya vijimelea vya aina ya Clamydia Trachomatis,kwahiyo umeona hapo kuna aina ya maabukizo mengi kwa hiyo matibabu ni dawa za aina mbalimbali (dawa moja haiwezi kutibu magonjwa yote) ushauri nenda kwenye hospitali Daktari ataagiza vipimo Kwenda kwenye maabara ,wakigundua ni ugonjwa gani atakuandikia dawa utapona,TOFAUTISHA Kati ya STD na UTI,:scared:
 
UMEJUAJE, are u the subject?
 
pole ndugu kwa kupata gono kwenye dhama za uwazi na condom hadi kwenye maduka ya mchele na sabuni

tetetetetetete zama za kondomu sio. . . Matangazo kwny tv kila leo wa2 wagum mhh mbongo mbongo 2 haya kimbia spitali na usirudie tena 🙂
 
Iliwahi kunikuta na nikatibiwa na dk mwanadada, aliiona naniliu, after a while tukakutana kwa mkutano, guess wharrr....alinipa ushauri zaidi (private)....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…