Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
KUTOKA RAIA MWEMA: HISTORIA YA SABA SABA ILIKUWAJE HADI TANU IKAZALIWA SIKU HIYO?
Mohamed Said July 12, 2017 0
‘’Acha tupambane... wale watakaokuja baada yetu watamaliza yatakayobakia.’’
Barua ya Kleist Sykes kwa Mzee bin Sudi, Rais wa African Association, 1933
Mnamo tarehe 9 Desemba, 1961 TANU ilinyakua mamlaka ya serikali kutoka kwa Mwingereza ikimaliza miaka 75 ya utawala wa kikoloni.
HISTORIA YA TANU CHAMA CHA UKOMBOZI WA TANGANYIKA

Waasisi wa TANU 7 Julai 1954
Raia Mwema 12 Julai - 16 Julai, 2017

Robert Makange akihariri gazeti la TANU

Julius Nyerere akiwa UNO 1955

Bi. Titi na wanachama wa Tawi la TANU Magomeni, 1955
(Picha kwa hisani ya Mzee Kassanda ambae mama yake alikuwa mwanachama wa Tawi la TANU Magomeni)