SHABAN ZECOMEDY
Member
- Sep 29, 2016
- 8
- 4
Nifah kwa leo raha toka kwa prison huwezi pata.Prisons tupeni raha tafadhali [emoji120]
WowzerrrrrrrrrWashachomoa 1-1
Hawa Azam mwaka huu sijui wamekula maharage ya wapi hawa.HT mwadui 1 azam 0
Wojo wojooooooooo [emoji39]1-1 prison na simba
Mbona wameshaanza kunipa raha mkuu?Nifah kwa leo raha toka kwa prison huwezi pata.
Mnyateeee
Utabiri wako kama matokeo yakibaki hivi utashinda,ila naombea ushindi kwa Prisons.HII GAME NI SARE, KESHO YANGA ANATENGENEZA GAP YA ALAMA 3 TU.
halafu nilijua utani kumbe kweli wamechomoa. tunawaongeza tu hawa hamna sale leoMbona wameshaanza kunipa raha mkuu?
Huhuuuuuuu
Prisons ongezeni burudani jamani [emoji39] [emoji39]Prison 1 Simba 1 (Hagaya,Mnyate)
Heheeeeee naona mikia wenzio wamekimbia kabisa leo.halafu nilijua utani kumbe kweli wamechomoa. tunawaongeza tu hawa hamna sale leo
naamini tunawaongeza. tukitoka sale tutakua sehem mbaya sana.Heheeeeee naona mikia wenzio wamekimbia kabisa leo.
Mmeshaanza kupoteana baada ya kufungwa mechi moja!
Sare?Wakati mnafungwa?naamini tunawaongeza. tukitoka sale tutakua sehem mbaya sana.
roho mbaya hiyo sasaSare?Wakati mnafungwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]