Kutoka Songea: Vodacom Premier League VPL, Majimaji Vs Simba SC

Jumaa anakwenda eneo la hatari .. Inakuwa painati kuelekea lango la Majimaji
 
44' Goooooooal .. Gooooal....Haruna Niyonzima anaisawazishia Simba bao kwa mkwaju wa peinati

Majimaji 1-1 Simba SC
 
45' Ni mapumziko kutoka uwanja wa Majimaji mjini Songea ambapo timu zote zimetoshana nguvu ya 1-1
 
Mpira umeanza kipindi cha pili. Hakuna mabadiliko kwa wachezaji wa pande zote
 
Bado tumepigwa?? Ama. Mtani hatupoi mpaka mwisho
Hahaaaa. Nawaona aiseee.

Ila Mtani nina hakika kama isingekuwa kukomboa sidhani kama ungekuwa na nguvu hii uliyonayo sasa sababu naona ilikuwa ishapotea kabisa.
 
Hahaaaa. Nawaona aiseee.

Ila Mtani nina hakika kama isingekuwa kukomboa sidhani kama ungekuwa na nguvu hii uliyonayo sasa sababu naona ilikuwa ishapotea kabisa.
Nakusubiri saa mbili Azam vs Yanga
 
58' Bado mabao 1-1 Majimaji vs Simba SC
 
Reactions: PNC
68' Peinati baada ya mchezaji wa Majimaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…