Kutoka Songea: Vodacom Premier League VPL, Majimaji Vs Simba SC

70' Goooooooal. Laaaaaaaa golikipa Hashim Mussa anapangua mkwaju wa peinati na kuwa kona ambayo haikuzaa matunda
 
Updates: Kutoka mkoani Mtwara VPL, Ndanda FC 3-1 Stand United
 
Kama matokeo yatabaki hivi; Majimaji 1-1 Simba SC na Ndanda FC 3- 1 Stand United, Majimaji itakuwa imeshuka daraja rasmi
 
80' Moses anajiandaa kuchukua nafasi ya MO Ibrahim
 
Hii mechi tunacheza kama mechi ya kirafiki japo maji maji kwao ina umuhimu sana
 
90+4' VPL, uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma

Majimaji 1-1 Simba SC
 
Wakati wowote mpira utakuwa umemalizika uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.

Naam mpira umekwisha ambapo matokeo Majimaji 1-1 Simba SC

Kwa matokeo hayo Majimaji imeshuka daraja kwa kushindwa kupata ushindi na kuungana na Njombe Mji

Asanteni...Ghazwat
 
Maji maji ulitoka mavumbini unarudi mavumbini kila lakheri
 
4' Goooooooal .
Yahya Zayd anaandika bao la kwanza kwa Azam

Azam FC 1-0 Yanga SC
 
43' kuelekea kumalizika kwa kipindi cha kwanza uwanja wa Taifa

Yanga SC 1-0 Azam FC
 
Kutoka uwanja wa Taifa..mpira ni mapumziko ambapo Azam FC wakiwa mbele ya 1-0 dhidi ya Yanga SC
 
Goooooooal ..Yanga wanasawazisha kupitia kwa Matheo Antony
 
Goooooooal..Azam FC wanaandika bao la pili kupitia kwa Shaban Idd
 
60' Yanga SC 1-2 Azam FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…