OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ushapapaswa huku taifa,Hahahaaa. Mtani haya ni Yale ya Okwiiiii. Lol
Ni mauaji ya kimbariHawa Yanga sasa wanafanya nini
Safi sana.79' Yanga SC 1-3 Azam FC uwanja wa Taifa
TulipapasanaKwa hiyo tushapapaswa tayari
Na sisi tuliwapapasaHahaaaa. Si nasikia wachezaji zaidi ya saba mmewapimzisha.
Ila mshakomboa lakini Pacha.
Poleni WanayangaHahahaaa. Usijali Mtani anzisha tu uzi mie utaniona.
Tena muda mzuri sana huo Mtani.