HOJA Kutoka Urusi: Madhaifu ya Chuo kinachotaka kumpa Samia PhD inauzwa kwa 100,000$ kukuza propaganda

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kagame huwa ni mjanja sana. Miaka fulanj ya nyuma Rwanda ilikuwa inatajwa sana kwa sifa nzuri nzuri katika majukwaa ya kimataifa mfanp ukuaji wa uchumi.

Sasa kumbe Kagame alikuwa ananunua hizo sifa. Kuna jamaa wa serikali alipoasi akakimbia nchi nimemsahau akaanza kuvujisha kuwa Rwanda ilikuwa inahonga hizo platforms ili kutajwa vizuri. Baada ya hiyo siri kuvuja, hatujasikia tena habari za kusifiwa kwa Rwanda kimataifa. Maana yake Rwanda waliacha huo mchezo. Sasa kule Malawi hata wakishtukiwa na cheap propaganda zao bado wanakaza mafuvu
 
Not at all, lakini kwanini anajiita Dr kwa PhD ya kupewa kutoka university ya hovyo, that explains everything about her character
Yeye kujiita siyo issue, ila wewe sasa ndiyo hupaswi kumuita
 
Kwa mara ya kwanza sijaelewa kilichoandikwa na Britanica.

Nieleweke vizuri; haimaanishi sijaelewa kwamba kuna mtu kanunua Phd ya heshima, ila nisichoelewa ni kwanini Britanica ameleta bandiko kama hili
 
PhD ya heshima sionagi kama ni mchongo na uko mbeleni zitakuja kufutwa PhD ya heshima pia haitakiwi kutangulia mbele ya jina
 
Sihitaji phd ambayo sijaisotea darasani, sijafanya research, sija present na bodi ikiwemo.
nikitaka muda wowote nasoma but then sio priority for now
Raha ya PhD paper , mtu ana PhD kibao za heshima ukija tafuta paper yake yoyote iliyotokana na PhD yake holaaa, inasikitisha sana
 
Kumbe kaenda kuongeza elimu,mimi nilidhani ni kututafutia fursa
 
Huyu alikuwa Raisi wa kwanza kuifanya rasmi siku yake ya kuzaliwa na kuiita Samia day
 
Watu hawajawahi mpa Putin PhD, unakuja kupewa mtu ambaye elimu ya kugundisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…