anyways mi nadhani ni chronic otitis media ... Ni infection ya middle ear ambapo inasababisha inflammation .. Ni rahisi watoto kupata huu ugonjwa ...! Nenda kwa dr. Wa ent .. " ni specialist wa hayo mambo"
pia ujue otitis media haiponi within a week on month .. Inachukuwa muda kupona with rights treatments inaweza ikachukuwa hata miezi sita .. So dont giveup with medications ambazo ent doctor atakazo kupa ..! Followups baada ya treatment ni muhimu kwani dactari atakupa apointment ya kurudi kila wiki siku fulani ili apate kusafisha sikio na kuingiza dawa sikioni apart from zile ambao amekupa umpe mwanao.