mkazjr Member Joined Jan 27, 2017 Posts 9 Reaction score 4 Mar 3, 2017 #1 Habari za kutwa wapendwa Naomba msaada mkewangu anatoka ute ulochanganyikana na damu hali hii utokea pindi yuko kwenye siku za hatari na uambatana na maumivu ya tumbo naomba kujua kama hari hii ni ya kawaida au ni ugonjwa?
Habari za kutwa wapendwa Naomba msaada mkewangu anatoka ute ulochanganyikana na damu hali hii utokea pindi yuko kwenye siku za hatari na uambatana na maumivu ya tumbo naomba kujua kama hari hii ni ya kawaida au ni ugonjwa?
Majestic wolf JF-Expert Member Joined Feb 10, 2015 Posts 1,248 Reaction score 1,851 Mar 3, 2017 #2 Ni vema ukamuwahisha hospitali mkuu kuliko kujifanyia self diagnosis wahi mapema
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,526 Reaction score 3,341 Mar 3, 2017 #3 Atakua na maambukizi kwenye shingo ya kizazi wahi kwa daktari kabla tatizo halijawa kubwa zaidi
mkazjr Member Joined Jan 27, 2017 Posts 9 Reaction score 4 Mar 3, 2017 Thread starter #4 Majestic wolf said: Ni vema ukamuwahisha hospitali mkuu kuliko kujifanyia self diagnosis wahi mapema Click to expand... Sawa kaka
Majestic wolf said: Ni vema ukamuwahisha hospitali mkuu kuliko kujifanyia self diagnosis wahi mapema Click to expand... Sawa kaka
mkazjr Member Joined Jan 27, 2017 Posts 9 Reaction score 4 Mar 3, 2017 Thread starter #5 Rahabu said: Atakua na maambukizi kwenye shingo ya kizazi wahi kwa daktari kabla tatizo halijawa kubwa zaidi Click to expand... Asante kwa ushaur
Rahabu said: Atakua na maambukizi kwenye shingo ya kizazi wahi kwa daktari kabla tatizo halijawa kubwa zaidi Click to expand... Asante kwa ushaur
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Mar 3, 2017 #6 great swell on ovaries..
mkazjr Member Joined Jan 27, 2017 Posts 9 Reaction score 4 Mar 3, 2017 Thread starter #7 Crocodiletooth said: great swell on ovaries.. Click to expand... Dah! Sawa ngoja nimpeleke hosp
Addllicious Member Joined Jan 11, 2017 Posts 7 Reaction score 2 Mar 4, 2017 #8 pole sana muwahishe hospital