Kutoka Uturuki: Friendly Match, Simba SC yaichapa F.C.E Ksaifa mabao 3-1

Endeleeni kuota ndoto na kujifariji. Huenda mkaepusha vifo visivyokuwa na lazima..Kanjibai..Kanjibai..Kanjibai[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu, Kwani Mo sio Kanjabai?
 
Simba bhana! ni sawa na kumpiga mlevi kisha utambe kwa wenzako! Bora ya azam wanaojifua na timu za Uganda kama nawaelewa hivi
Mbona Yanga yako inacheza na Mawenzi FC Agosti 12 Jamhuri Stadium? Au Yanga si timu ya ushindani?
 
Ulivyo mbumbumbu eti record uchwara. Nakuacha nmegundua mgonjwa wa akili wewe haupo sawa maana hata hizo record unaziita uchwara kuna nini utakuwa unakijua wewe?
 
Ulivyo mbumbumbu eti record uchwara. Nakuacha nmegundua mgonjwa wa akili wewe haupo sawa maana hata hizo record unaziita uchwara kuna nini utakuwa unakijua wewe?
Jibu hayo maswali Chura [emoji196] mdogo wewe, hawezi kaa kimya.
 
Jibu hayo maswali Chura [emoji196] mdogo wewe, hawezi kaa kimya.
Nikujibu nini pumbavu wewe?. Yaan hujui lolote zaid ya usenge,
1. Unakataa record zipo waz popote unazipata
2. Hujui kama Yanga ni SC sasa naendelea kubishana na shoga wa aina hii kwa lipi?.
Jamii forums kuna wapumbavu sana siku hizi
 
Sasa kama ni hivyo kwanini zingine uandike halafu Yanga uache? Simba SC ina rekodi ya kimataifa ambayo we[emoji196] hujawahi kufikia, nimekutekenya kidogo tu umetoa ushuzi..Punguani Waheed
 
Sasa kama ni hivyo kwanini zingine uandike halafu Yanga uache? Simba SC ina rekodi ya kimataifa ambayo we[emoji196] hujawahi kufikia, nimekutekenya kidogo tu umetoa ushuzi..Punguani Waheed
Akili huna mbumbumbu wewe
 
Akili huna mbumbumbu wewe
Naona dawa imeingia vilivyo..usilete risala ya marehemu hapa, kama ungekuwa na akili huo ubingwa wako ungeambatanisha na hatua yako ya mafanikio kimataifa japo hata nusu fainali au fainali lakini kazi kuishia makundi na robo tu maanake nini? Huna tofauti gani na Coastal union ambaye amewahi kuwa bingwa wa ligi kuu? Nimekushtua kidogo tu umeechia...kijani [emoji3][emoji3] Mbute FC we!
 
Kasome gazeti la Dimba....serikali yako imefanya figisu bila hivyo Yanga ingechukua ubingwa miaka 10 mfululizo...Manji kachukizwa na Jerry Muro kuomba msaada kwa MO..anaweka mezani 60 billions ...itakuwa timu tajiri kupita zote ukanda huu

Angalu wewe umepata akili za Kufikiria Kuwa Gazeti la Dimba Ndiyo Msemaji Wa YangaFC πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Eti 60billions!! πŸ˜€ za kusadikika au?
 
Simba bhana! ni sawa na kumpiga mlevi kisha utambe kwa wenzako! Bora ya azam wanaojifua na timu za Uganda kama nawaelewa hivi

Kabla ya Kuponda au Kusifia Wengine! Wakati na nyinyi Munashiriki VPL Kwanini na Nyinyi VyuraFC musiende Kujipima Nguvu na Barcelona au Bayern Munich?
 
Wameifunga timu ya wakimbizi wa kipalestina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…