DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Yanga imewamenya mbeya sweety.Sio kumenyana, sema KUMENYWA na Makambo
Mbeya Sweety ni kama wanasiasa, usiwatilie maanani wakiahidi jambo.
Kwa Sasa una furaha uwezi kunielewa
Yanga wako weak Sana defense timu nyingi zinashindwa kutumia nafasi kutokana na Aina ya wachezaji wa Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigezo cha kusema simba wanajua mpira ni nini?Simba wanajua mpira Yanga ni ndondokela tu
Umuhimu wa Beno Kakolanya leo umeonekana. Je, anahitaji kurudi kweli?Jiandae na kipigo Cha Eliud Ambokile , ndo mtajua umuhimu wa Beno Kakolanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwako pia. Tunaomba Mwenyezi Mungu atujaalie uzima tupate kuuona salama Mtani.
Ina maana umeshaamini kwamba Yanga wanaweza (kubahatisha) kuwa mabingwa? Kwamba inawezekana ule upepo usikate tena? Kwamba ile butuabutua inaweza kubahatisha ikaibuka kidedea mbele ya soka la burudani? Kwamba lile bakuli linalotembezwa na walalahoi viwanjani linaweza kubahatisha kupata ambacho mabilioni ya bilionea zitashindwa? Kwamba inawezekana basi timu ya bilionea isipande ndege mwakani labda kama ‘itabahatisha’ kutwaa ubingwa wa Afrika lakini ikapanda ya mzee ambaye rssilmali yake ni kofia aliyorejeshewa baada ya kuibiwa?Yanga wanabahatisha Sana yaani wakienda kimataifa kwa timu hi hate round ya Kwanza hawavuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufurahi muhimu lakini na ikiwezekana kufurahi tunafurahi tu Mkuu. Sababu wanasema siku zote biashara asubuhi.
Mpira si unachezwa hadharani?
Jiandae na kipigo Cha Eliud Ambokile , ndo mtajua umuhimu wa Beno Kakolanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli Mtani hicho ndio kikubwa.
Simba udhaifu wake mkubwa uko sehemu gani?Kwa Sasa una furaha uwezi kunielewa
Yanga wako weak Sana defense timu nyingi zinashindwa kutumia nafasi kutokana na Aina ya wachezaji wa Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba Yuko taifa Leo ngoja tuone burudani sexy footballNa kweli Mtani hicho ndio kikubwa.
Kama lile la kwa mashujaa ama? 😎
Nawashangaa wanaSimba wenzangu, ngoja mwakani tuwaangalie hao Al Ahly kwenye luninga ndio akili itatukaa vizuri.Umesahau kwamba hata Mikia ni zao la ligi za kichawi eee?