45+2' Muda wowote mpira utakuwa ni mapumziko kwenye mchezo huu wa VPL
Ni game ngumu, mpira ukiwa unatawaliwa rafu za hapa na pale, hata hivyo mwamuzi anajitahidi kuhakikisha analimudu vema hili pambano.
Naaaaaaaaaaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo timu zinatoka bila kufungana kipindi hiki cha kwanza.
Simba SC 0-0 Azam FC