Kutoka Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Azam FC

Uzuri wa simba amechana na mambo ya kizamani
Mambo yake ni ya kisasa ndo maana anachanja gomba tu
 
yule mbrazil amempa wawa changamoto kubwa sasa hivi namuona wawa wa azam pia gadiniel michael , nyoni , kahata, kagere , kiungo mbrazil wameonyesha kwamba simba ni timu ya namna gani vitu vizuri vinazidi kuja
 
49'Goooooooooooooooooooaaal gooooooaaal goooooaal...MK 14 Maddie Kagere anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa kichwa baada ya kupata pasi safi kutoka wa Kahata.

Simba SC 1-0 Azam FC
Goli LA offside, msimu tutashuhudia mabao ya ajabu sana, asante waamuzi
 
Simba SC hii itawatoa roho nyie Hoho FC bado hamjatambua kwamba ni Bingwa wa Nchi.. SimbaNguvuMoja
Goli LA offside, msimu tutashuhudia mabao ya ajabu sana, asante waamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…