Kutoka vidonda sehemu za siri za mwanamke nini chanzo

quavio wa tz

Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
88
Reaction score
36
Juz nili lala mpenzi wangu baada ya kulala nae kesho yake akaja kuniambia kuwa nilimchubua vimetoka vidonda sehemu za k

Nauliza ivi nikweli hivyo vidonda ni vimetokana na mimi kumchubua au kuna fangasi wowote kama ni fangasi nimpeleke hospitalj akipime au nini kisababishi


Naombeni ushauri kwa wanawke wa jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amechubuka wapi? Kama ni ndani kwenye maumbile yake unatakiwa kumuandaa vya kutosha kabla ya kumuingilia au mtumie lubricants sema kwa msaada zaidi kama hali yake s njema apelekwe hospital akaonane na dokta ajieleze mpate msaada srahiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…