Kutoka vijidamu kwa msichana mwenye mimba changa

zipalapwata

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
290
Reaction score
156
Wadau nilikuwa nauliza kutoka vijidamu kwa msichana mwenye mimba changa Nini tatizo!!
 
Sijui mkuu wataalam wanakujaa
 
Ni kawaida mi mke wangu huwa inamtoka na anajifungua vizuri.Sasahv ana watoto wawili na hawana tatizo lolote.Nb sina utaalamu kwa ushauri zaidi muone daktari.
 
Ni Hali ya kawaida Mwanzoni
Lakin ukiona Hali inaendelea wahi hospital
 
Mimba inataka kutoka hiyo wahi hospital watakupatia dawa na watakushauri usiwaze sana.chukua bodaboda uwahi itatoka
 
Threatening abortion
Mleta mada ushahuri huu hapa. Ufate na uzingatie hili kwa wakati (Threatened miscarriage) mimba inayo tishia kutoka. Uki wahi kuna management yaku zuia isi haribike zaidi na mtoto ata zaliwa salama uki chelewa itafanyika Evacuation method( abortion). Niki pata mda nita elezea kwa urefu juu ya hili.

Cc:
zipalapwata
 
Si dalili nzuri wahi hoslitali.
 
Ahsante umeelezea vizur Mr ni vidowa vya damu ilitoka kuz usiku ila siku ya Jana hakuja kuwa na half Kama hiyoo
 
Ahsante ndugu
 
Kitaalamu ukishabeba mimba damu haitakiwi kutoka hadi cku ya kujifungua, wahi Hosp kwa msaada zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…