Kutokana na ahadi yake: Haji Manara kesho rasmi anahamia Yanga kuitumikia

D2050

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
1,919
Reaction score
1,094
haji manara aliahidi atahamia yanga endapo liver wataitoa barcelona tunamwomba atimize ahadi yake
 

Attachments

  • VID_42630715_073027_685.mp4
    2.7 MB
Mara baada ya Liverpool kupangwa na Barcelona kwenye hatua ya nusu fainali Afisa habari wa Simba Haji Manara akatamka kwa mdomo wake na bila kulazimishwa kuwa endapo Liverpool wataitoa Barcelona kwenye hatua hiyo na kuingia fainali atahamia Yanga pamoja na kuwa mstari wa mbele kuchangisha fedha kwa ajili ya Yanga.
Sasa Barcelona wametolewa rasmi na Liverpool na kuingia fainali,Je Manara atakamilisha ahadi aliyotoa mbele ya hadhara??
Tusubiri...
 
Ahadi ni deni akaribie jangwani uzuri kuna uongozi sasa watampangia kazi ya kufanya akushirikiana na papaa mwinyi zahera mambo yatanoga jangwani
 
Ahami atasema ni photoshop
 
Yanga tulikuwa na Manara wawili seniors, tena wachezaji achana na huyu msema hovyo . Wala hahitajiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…