Msemaji Mwenye Maneno yasiyo na maana wala hekma na msemaji asie na taaluma ya kile anacho kisemea haji manara
Haji ulisema kwenye mitandao na ukajinafasi na kujisifu kua endapo Barcelona itafungwa na Liverpool bac we we utahamia Yanga tena bila masharti yoyote, nakukumbusha timiza ahadi yako ulisha ongea mengi yasio na maana katika ulimwengu huu wa wapenda mpira hasa hapa Tanzania
Matokeo yenu ya kupanga mnapo cheza na team zingine ukalinganisha mpira wa ulaya na Tanzania ni sawa umekosea
Mpira ni mchezo wa matokea hilo ulilisahau
Ukageuka kituko kua msemaji wa Barcelona tena. Sisi wanayanga tushakuachia uwe msemaji wetu mana kila jambo linalo wahusu nyie lazima uizungumzie na Yanga
Manara umezidi na unajishushia heshima yako kaa kwenye mipaka yako
Usizungumzie mambo yasio kuhusu hujakoma tuu!!!!
Kwanaza uliwaaminisha mmashabiki wako nyie na tp mazembe mko daraja moja na hukuwaheshimu tp mazembe ona yaliyo wakuta na mengi sana ya kukukumbusha
Ila kwa Leo timiza ahadi yako
Njoo Yanga na unakuja kama shabiki yyt na sio msemaji wa Yanga huna hadhi hiyo.