Kutokana na ahadi yake: Haji Manara kesho rasmi anahamia Yanga kuitumikia

hiyo haibadilish matokeo yenu na lipuli,, punguza povu mkuu haya maisha tu,,
 
NAMSALIMIA TU ANDUNJE MWENZENU "BLACKPANTHER" MAANA ANA MAHABA SANA KWA MESSI KULIKO HATA MUNGU NA WAZAZI WAKE[emoji113][emoji87]
 
Manara ni shabiki wa man united kwahyo liverpool alipopangwa na barca alidhan lazma liver atolewe kama man u
 
Kamwene Mtani.

Huyo ndo kashakuwa wenu, mpokeeni.

Kasema anachangia na hela kabisa, nadhani ni zile za faida kwenye perfume.
Akaaaaaa. Abakie tu huko Mtani sababu nyie ndio mmezowea kupewa kauli tamu za uwongo ambazo huwa zinawafariji wenyewe.

Kama ile eti Simba saizi yake ni Barca. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…